Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Watu kadhaa waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa Pemba, Tanzania katika ghasia za kabla ya upigaji kura ya mapema

    Watu kadhaa waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa Pemba, Tanzania katika ghasia za kabla ya upigaji kura ya mapema

    Oct 27, 2020 04:50

    Watu kadhaa wanaoaminika kuwa wafuasi wa chama cha ACT Wazalendo wameripotiwa kuwa wameuawa na kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba, Zanzibar kabla ya kufanyika upigaji kura ya mapema ambao umezusha taharuki visiwani humo.

  • Wasimamizi wa uchaguzi Tanzania watakiwa kufuata sheria

    Wasimamizi wa uchaguzi Tanzania watakiwa kufuata sheria

    Oct 20, 2020 04:13

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) imewaagiza wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka malalamiko yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani.

  • Mpwa wa Rais wa Tanzania atishia 'kummaliza' Tundu Lissu kwa sindano ya sumu

    Mpwa wa Rais wa Tanzania atishia 'kummaliza' Tundu Lissu kwa sindano ya sumu

    Oct 18, 2020 10:43

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania ametishia kumuua kwa kumdunga sindano ya sumu, mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu kwa kile alichosema kuendelea 'kuwajaza upepo' wafuasi wake ili waandamane.

  • Ripoti ya matukio ya Kiislamu juma hili nchini Tanzania + SAUTI

    Ripoti ya matukio ya Kiislamu juma hili nchini Tanzania + SAUTI

    Oct 16, 2020 12:46

    Viongozi wa dini Tanzania wakemewa na Baraza la Maulamaa la BAKWATA kwa kujihusisha na kuwapigia kampeni wagombea wa vyama vya siasa katika uchaguzi mkuu

  • Kauli ya Mufti wa Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28

    Kauli ya Mufti wa Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28

    Oct 16, 2020 03:58

    Sheikh mkuu na Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir amewataka watanzania kuhakikisha wanailinda amani ya nchi wakati huu ambapo taifa linaelekea kufanya uchaguzi mkuu.

  • Serikali ya Tanzania yatuhumiwa kubana na kukandamiza upinzani kuelekea uchaguzi wa Oktoba 28

    Serikali ya Tanzania yatuhumiwa kubana na kukandamiza upinzani kuelekea uchaguzi wa Oktoba 28

    Oct 12, 2020 10:26

    Serikali ya Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania imetunga na kutekeleza sheria kali za kuogofya ili kukandamiza kila aina ya upinzani, wakati nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika tarehe 28 ya mwezi huu wa Oktoba.

  • Polisi visiwani Zanzibar yawaonya vikali wanasiasa 'wachochezi'

    Polisi visiwani Zanzibar yawaonya vikali wanasiasa 'wachochezi'

    Oct 07, 2020 04:27

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar nchini Tanzania amewatahadharisha wanasiasa dhidi ya kutoa matamshi ya kichochezi na uvunjifu wa amani visiwani humo, kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 28.

  • Tume ya Uchaguzi Tanzania yamfungia Lissu kufanya kampeni

    Tume ya Uchaguzi Tanzania yamfungia Lissu kufanya kampeni

    Oct 02, 2020 10:56

    Kamati ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, kufanya kampeni kwa muda wa siku saba, kwa madai ya kukiuka kanuni na taratibu za uchaguzi.

  • Magufuli asikitishwa na 'ajali' ya moto iliyoua wanafunzi 10 Tanzania

    Magufuli asikitishwa na 'ajali' ya moto iliyoua wanafunzi 10 Tanzania

    Sep 15, 2020 03:18

    Rais John Magufuli wa Tanzania ametuma salamu za rambirambi kwa uongozi wa Shule ya Kiislamu ya Byamungu iliyopo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera kufuatia mkasa wa moto uliosababisha maafa. Rais Magufuli ametoa mkono wa pole kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa wanafunzi 10 waliopoteza maisha katika ajali hiyo ya usiku wa kuamkia jana.

  • Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania awasili Pemba kukabiliana na 'wachochezi'

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania awasili Pemba kukabiliana na 'wachochezi'

    Sep 04, 2020 02:33

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania Simon Sirro amewasili kisiwani Pemba, Zanzibar kwa ajili ya kile kilichotajwa kuwa kufanya vikao na vyama vya siasa na viongozi wa dini kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS