Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • WHO: Tanzania ipo nafasi ya pili ya hatari kukumbwa na ugonjwa hatari wa Ebola

    WHO: Tanzania ipo nafasi ya pili ya hatari kukumbwa na ugonjwa hatari wa Ebola

    May 25, 2018 09:13

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitaja Tanzania kuwa ipo na nafasi ya pili ya nchi zilizo katika hatari ya kukumbwa na maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

  • Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina

    Joseph Mbilinyi (Sugu): Kuna maana gani Tanzania kufungua ubalozi wake Israel na kuwaacha Wapalestina

    May 24, 2018 03:17

    Mbunge wa Mbeya mjini wa chama cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA) Joseph Osmund Mbilinyi maarifa kwa jina la Sugu amesema kuwa, inashangaza kuona hii leo serikali ya Rais John Magufuli inakwenda kinyume na misingi iliyojengwa na Tanzania katika kuwatetea watu wanaokandamizwa duniani, hususan Palestina.

  • Hali ya taharuki yatanda Kongo DR na nchi jirani kufuatia kusambaa ugonjwa hatari wa Ebola

    Hali ya taharuki yatanda Kongo DR na nchi jirani kufuatia kusambaa ugonjwa hatari wa Ebola

    May 18, 2018 03:46

    Wasi wasi umetanda nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na nchi jirani na taifa hilo kutokana na kuripotiwa kusambaa ugonjwa hatari wa Ebola.

  • Tanzania: Hakuna ugonjwa wa Ebola nchini, lakini tunachukua tahadhari

    Tanzania: Hakuna ugonjwa wa Ebola nchini, lakini tunachukua tahadhari

    May 11, 2018 03:06

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa, hadi sasa hakuna mtu yeyote nchini aliyegundulika kuwa na viashiria vya ugonjwa wa Ebola, lakini itaendelea kudhibiti na kujikinga na ugonjwa huo.

  • SAUTI, Mbunge Saidi Bungara wa Kilwa Kusini: Serikali ya Tanzania inatunyanyasa Waislamu tumekosa nini?

    SAUTI, Mbunge Saidi Bungara wa Kilwa Kusini: Serikali ya Tanzania inatunyanyasa Waislamu tumekosa nini?

    May 06, 2018 12:32

    Mbunge wa Kilwa Kusini, wa chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, Selemani Saidi Ally Bungara amehoji kwamba ni kosa gani wamelifanya Waislamu ndani ya nchi hiyo hadi waendelee kukandamizwa kila uchao nchini mwao?

  • Majaliwa: Ma-RC na ma-DC, simamieni bei za bidhaa msimu wa Ramadhani nchini Tanzania

    Majaliwa: Ma-RC na ma-DC, simamieni bei za bidhaa msimu wa Ramadhani nchini Tanzania

    May 05, 2018 00:15

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu waumini wa dini ya Kiislamu akisema kuwa, kuwa bei za bidhaa hazitapanda katika msimu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

  • Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video

    Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video

    May 01, 2018 13:02

    Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Iran yalimalizika Jumatano 15 Aprili hii huku kukitolewa wito wa Umoja na kushikamana na Qur'ani Tukufu.

  • Tanzania yaadhimisha miaka 54 ya muungano, wapinzani waitisha maandamano

    Tanzania yaadhimisha miaka 54 ya muungano, wapinzani waitisha maandamano

    Apr 26, 2018 03:29

    Tanzania leo inaadhimisha miaka 54 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda taifa moja la Tanzania huku baadhi ya wapinzani wakiitisha maandamano ya kuipinga serikali.

  • Polisi Tanzania yaimarisha usalama kuhusu maandamano, nayo Chadema yayakana

    Polisi Tanzania yaimarisha usalama kuhusu maandamano, nayo Chadema yayakana

    Apr 25, 2018 09:52

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeimarisha usalama kila kona ya nchi, kutokana na tetesi za kufanyika maandamano ya kesho tarehe 26 Aprili na ambayo yamekuwa yakihimizwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa ajili ya kupinga serikali ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo.

  • Mafuriko yashtadi Tanzania, watu tisa waripotiwa kufariki dunia huku mvua zikiendelea kunyesha

    Mafuriko yashtadi Tanzania, watu tisa waripotiwa kufariki dunia huku mvua zikiendelea kunyesha

    Apr 16, 2018 09:54

    Jeshi la polisi nchini Tanzania limetangaza kuwa hadi sasa watu tisa wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam kutokana na mafuriko yanayosababishwa na mvua kali zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS