Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Bendera ya Palestina yapepea katika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera ya Palestina yapepea katika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Apr 13, 2018 23:25

    Kikundi cha mabinti na vijana 16 wa Kipalestina kimefanikiwa kufika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kupeperusha bendera ya Palestina katika mlima huo mrefu zaidi barani Afrika.

  • Zitto Kabwe: Watu wa Kigoma hawashindwi vita, hawatokubali kuonekana sio raia wa Tanzania (sauti)

    Zitto Kabwe: Watu wa Kigoma hawashindwi vita, hawatokubali kuonekana sio raia wa Tanzania (sauti)

    Apr 13, 2018 03:07

    Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amelaani vitendo vya kupotezwa watu vinavyoendelea kujiri nchini Tanzania kikiwemo kitendo cha kupotezwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoani humo, Simon Kangue.

  • Waziri Mkuu Tanzania: Ni kweli kuna changamoto za muungano

    Waziri Mkuu Tanzania: Ni kweli kuna changamoto za muungano

    Apr 11, 2018 00:13

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameelezea kuwepo changamoto katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

  • SAUTI, Makamu wa Rais Zanzibar: Serikati ya Tanzania imepania kuboresha sekta ya usafirishaji wa anga nchini

    SAUTI, Makamu wa Rais Zanzibar: Serikati ya Tanzania imepania kuboresha sekta ya usafirishaji wa anga nchini

    Apr 09, 2018 13:31

    Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd amesema kuwa, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea na juhudi zake za kuimarisha zaidi viwanja vyake vya ndege ili kukuza sekta ya usafiri wa nga ndani ya taifa hilo.

  • Mbunge Bungara wa Kilwa Kusini: Waziri Mkuu anaposema Tanzania kuna amani, mimi sielewi (na sauti)

    Mbunge Bungara wa Kilwa Kusini: Waziri Mkuu anaposema Tanzania kuna amani, mimi sielewi (na sauti)

    Apr 09, 2018 10:35

    Mbunge wa Kilwa Kusini, wa chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, Selemani Saidi Ally Bungara amesema kuwa, hakubaliani na kipengee kilichopo kwenye hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kinachoeleza kuwa nchi hiyo ina amani sana.

  • SAUTI, Tanzania yajifunza kwa Uganda namna ya usajili wa ardhi kidijitali, yapania kumaliza matatizo ya ardhi

    SAUTI, Tanzania yajifunza kwa Uganda namna ya usajili wa ardhi kidijitali, yapania kumaliza matatizo ya ardhi

    Apr 07, 2018 12:13

    Maafisa wa Wizara ya Ardhi nchini Tanzania wanaendelea kujifundisha namna ya usajili wa ardhi kwa njia ya kidijitali (tarakimu) kwa ajili ya kumaliza matatizo ya ardhi nchini kwao.

  • Rais John Magufuli: Polisi Tanzania hawakuajiriwa kufyeka mashamba ya bangi (sauti)

    Rais John Magufuli: Polisi Tanzania hawakuajiriwa kufyeka mashamba ya bangi (sauti)

    Apr 07, 2018 11:52

    Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, hakuna kitu kinachomkera kama askari polisi kwenda kufyeka mashamba ya bangi yaliyokamatwa na polisi hao akisisitiza kwamba polisi hawakuajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo.

  • Ajali mbaya ya gari, watu 12 wafariki dunia Tanzania

    Ajali mbaya ya gari, watu 12 wafariki dunia Tanzania

    Apr 05, 2018 03:45

    Kwa akali watu 12 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya basi iliyotokea  mkoani Tabora nchini Tanzania. Kwa mujibu wa ripoti, ajali hiyo imelihusisha basi la Kampuni ya City Boys lililogongana na lori aina ya Fuso katika eneo la Makomero wilaya ya Igunga mkoani Tabora na kwamba ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo.

  • Viongozi wa Chadema Tanzania waachiwa huru kwa dhamana

    Viongozi wa Chadema Tanzania waachiwa huru kwa dhamana

    Apr 03, 2018 09:36

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania imewaachia huru kwa dhamana viongozi 6 wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.

  • SAUTI, Maalim Seif: Amri ya uhamiaji Tanzania ya kuwapangia Watanzania mahala pa kusafiria kuelekea nje inashangaza

    SAUTI, Maalim Seif: Amri ya uhamiaji Tanzania ya kuwapangia Watanzania mahala pa kusafiria kuelekea nje inashangaza

    Apr 02, 2018 12:15

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Wanachi (CUF), Maalif  Seif Sharif  Hamad, ameonyesha kushangazwa na amri ya idara ya uhamiaji Tanzania Bara, kutowaruhusu Watanzania waliochukulia pasipoti upande huo (bara) kusafiria kutokea Zanzibar kuelekea nchi nyingine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS