Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Polisi Tanzania:  Hatujabaini silaha iliyotumika kumuua Akwilina, Lema ashangaa

    Polisi Tanzania:  Hatujabaini silaha iliyotumika kumuua Akwilina, Lema ashangaa

    Mar 31, 2018 00:07

    Kamanda wa jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa hadi sasa bado jeshi hilo linaendelea na uchunguzi kuhusu tukio la kuuawa kwa kupigwa risasi mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini.

  • Viongozi wa CHADEMA kulala mahabusu hadi Aprili 3; hakimu adai masharti ya dhamana hayajakamilika

    Viongozi wa CHADEMA kulala mahabusu hadi Aprili 3; hakimu adai masharti ya dhamana hayajakamilika

    Mar 29, 2018 11:12

    Vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Viongozi 6 wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wafikishwe mahakamani hapo AprilI 3, 2018 ili kukamilisha masharti ya dhamana yao.

  • Tundu Lissu: Kinachowapata viongozi wa upinzani Tanzania, ni njia ya kuelekea Ikulu       

    Tundu Lissu: Kinachowapata viongozi wa upinzani Tanzania, ni njia ya kuelekea Ikulu      

    Mar 29, 2018 00:10

    Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema kuwa, kile kinachowapata viongozi wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), ni maandalizi ya upinzani huo kuingia madarakani.

  • Viongozi wa upinzani Tanzania wakamatwa; wapandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka

    Viongozi wa upinzani Tanzania wakamatwa; wapandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka

    Mar 27, 2018 12:53

    Viongozi kadhaa wa chama cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania wamepandishwa kizimbani mchana wa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka manane yakiwemo ya kufanya maandamano yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha NIT, Akwilina Akwiline, uasi, kuhamasisha chuki kati ya wanajamii na kuchochea ghasia.

  • Magufuli awajibu maaskofu, awataka wahubiri viwanda na si mambo mengine

    Magufuli awajibu maaskofu, awataka wahubiri viwanda na si mambo mengine

    Mar 26, 2018 10:41

    Rais John Magufuli wa Tanzania amejibu mapigo ya maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) akiwataka viongozi hao wahubiri kuhusu ujenzi wa viwanda vya dawa nchini humo ili Tanzania isinunue dawa nje ya nchi, badala ya kuhubiri mambo mengine.

  • Hatimaye Abdul Nondo aachiliwa huru na mahakama ya Tanzania kwa dhamana

    Hatimaye Abdul Nondo aachiliwa huru na mahakama ya Tanzania kwa dhamana

    Mar 26, 2018 04:17

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa Jumatatu ya leo, imemuachilia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini Tanzania (TSNP), Abdul Nondo kwa dhamana.

  • Ghasia zaibuka Mbeya, Tanzania baada ya polisi kutuhumiwa kusababisha mauaji ya kijana mmoja

    Ghasia zaibuka Mbeya, Tanzania baada ya polisi kutuhumiwa kusababisha mauaji ya kijana mmoja

    Mar 26, 2018 03:29

    Ghasia na machafuko yameripotiwa kutokea mkoani Mbeya, kusini magharibi mwa Tanzania baada ya polisi kutuhumiwa kuwa wamesababisha kifo cha kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Allen Mapunda, mkazi wa Kata ya Iyela.

  • Rais Magufuli, aomboleza vifo vya watu 26 katika ajali ya gari mkoani Pwani Tanzania

    Rais Magufuli, aomboleza vifo vya watu 26 katika ajali ya gari mkoani Pwani Tanzania

    Mar 25, 2018 09:59

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo na familia za wahanga wa ajali ya basi ndogo aina ya Hiace iliyosababisha vifo vya watu 26 na wengine kadhaa kujeruhiwa.

  • Maalim Seif amuonya Profesa Lipumba amtaka aache kukivuruga chama cha CUF Tanzania

    Maalim Seif amuonya Profesa Lipumba amtaka aache kukivuruga chama cha CUF Tanzania

    Mar 24, 2018 12:15

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Wanachi (CUF), Maalif  Seif Sharif  Hamad, amemkemea mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba na kumtaka kuacha kukivuruga chama hicho.

  • Hatimaye Abdul Nondo amefikishwa Mahakamani Iringa Tanzania

    Hatimaye Abdul Nondo amefikishwa Mahakamani Iringa Tanzania

    Mar 21, 2018 04:52

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amesafirishwa usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2018 kupelekwa mkoani Iringa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS