-
Rais Magufuli, aomboleza vifo vya watu 26 katika ajali ya gari mkoani Pwani Tanzania
Mar 25, 2018 09:59Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo na familia za wahanga wa ajali ya basi ndogo aina ya Hiace iliyosababisha vifo vya watu 26 na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Maalim Seif amuonya Profesa Lipumba amtaka aache kukivuruga chama cha CUF Tanzania
Mar 24, 2018 12:15Katibu Mkuu wa Chama Cha Wanachi (CUF), Maalif Seif Sharif Hamad, amemkemea mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba na kumtaka kuacha kukivuruga chama hicho.
-
Hatimaye Abdul Nondo amefikishwa Mahakamani Iringa Tanzania
Mar 21, 2018 04:52Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo amesafirishwa usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2018 kupelekwa mkoani Iringa.
-
Profesa Lipumba: Chama cha CUF kimemdekeza sana Maalim Seif, Mazrui amjibu
Mar 19, 2018 04:38Mwenyekiti wa chama cha CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba amesema kuwa, chama hicho kilimdekeza kwa kiasi kikubwa Katibu mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad.
-
ACT Wazalendo: Maeneo ya vijijini nchini Tanzania yametelekezwa na serikali
Mar 18, 2018 13:21Aidha chama hicho kimeitaka serikali kuruhusu wananchi wafanye maandamano ya amani
-
SAUTI. Tanzania yaendelea kutoa indhari kuzuia maandamano tarajiwa, polisi nayo yasema asiyejua kifo aangalie kaburi
Mar 15, 2018 13:06Raia wa Tanzania wameendelea kupewa indhari na serikali ya nchi hiyo ya kutojihusisha na maandamano yanayopangwa kufanyika mwezi April mwaka huu.
-
Mtandao wa wanafunzi Tanzania: Hatuamini uchunguzi uliofanywa na polisi kuhusu Nondo
Mar 14, 2018 04:49Mtandao wa wanafunzi nchini Tanzania (TSNP) umetoa taarifa ukisema kuwa, habari walizo nazo kuhusu kile kilichomsibu mwanafunzi mwenzao, Abdul Nondo, zinakinzana na zile zilizotolewa jana na jeshi la polisi nchini humo hasa baada ya kufanya uchunguzi.
-
Rais Magufuli: Watakaofanya maandamano 'watasimulia' baba zao
Mar 10, 2018 00:45Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amevionya vyama vya siasa na wananchi ambao wamepanga kufanya maandamo siku za hivi karibuni kwa mujibu wa taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni.
-
LHRC yaitaka Tume ya Uchaguzi Tanzania kusikiliza malalamiko ya wadau
Mar 07, 2018 11:02Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo (NEC) kufanyia kazi changamoto na malalamiko yaliyoibuliwa na wadau wakati na baada ya uchaguzi mdogo wa ubunge Kinondoni na Siha.
-
Tanzania yazinyoshea kidole nchi za Magharibi kutokana na matukio ya kisiasa ya nchi hiyo
Mar 03, 2018 01:32Serikali ya Tanzania imewataka mabalozi wa kigeni wanaoziwakilisha nchi zao nchini humo, kutambua mazingira yanayolikabili taifa hilo kabla ya kutoa ripoti ambazo hazijathibitishwa na zenye uchochezi.