ACT Wazalendo: Maeneo ya vijijini nchini Tanzania yametelekezwa na serikali
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i41851-act_wazalendo_maeneo_ya_vijijini_nchini_tanzania_yametelekezwa_na_serikali
Aidha chama hicho kimeitaka serikali kuruhusu wananchi wafanye maandamano ya amani
(last modified 2026-03-17T04:36:21+00:00 )
Mar 18, 2018 13:21 UTC

Aidha chama hicho kimeitaka serikali kuruhusu wananchi wafanye maandamano ya amani

Ikiwa serikali ya Tanzania inajiandaa kuingia katika kipindi kipya cha bajeti  ya mwaka wa fedha 2018-2019 mwezi Juni mwaka huu, rai imetolewa ya kuitaka bajeti ijayo iende sawa katika mgawanyo wa  kimatumizi na maeneo ya vijijini ambako kuna mahitaji makubwa zaidi kuliko mijini. Kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe amesema hayo kufuatia ziara yake aliyoifanya maeneo ya vijijini nchini Tanzania kubaini hali mbaya ya umasikini na uduni wa miondombinu, jambo ambalo linarudisha nyuma  maendeleo  ya taifa.

Taarifa zaidi na OMAR MANJI kutoka Dar es Salaam.....