-
Tanzania yamkabidhi kiongozi wa waasi wa Kongo DR kwa serikali ya nchi hiyo
Feb 05, 2018 13:08John Tshibangu, Kanali mwasi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyetishia kumuondoa madarakani rais wa nchi hiyo Joseph Kabila amehamishwa kutoka Tanzania na kukabidhiwa kwa serikali ya DRC ambako atashtakiwa kwa kufanya uasi.
-
Jitihada za Kudhibiti Homa ya Chikungunya Kenya na Tanzania
Jan 20, 2018 03:59Serikali Kenya na Tanzania ziko mbioni kudhibiti ugonjwa wa Homa ya Chikungunya ambao huambukizwa na mbu aina ya aedes na hauna tiba mahsusi wala kinga.
-
Sakata la meli zinazobeba mihadarati zikiwa na bendera ya TZ, lamlazimu Rais Magufuli kusitisha usajili wa meli
Jan 20, 2018 01:16Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ameagiza kusitishwa mara moja usajili wa meli mpya nchini humo kufuatia kukamatwa dawa za kulevya na bidhaa nyingine zilizopigwa marufuku kimataifa ndani ya meli zinazopeperusha bendera ya Tanzania.
-
SAUTI, Wafrika waendelea kulaani matamshi ya Trump, wamtaka ajiangalie kama anafanana na thamani iliyonayo Afrika
Jan 13, 2018 15:19Huku dunia ikiendelea kulaani vikalai matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekanmi aliyoyatoa siku ya Alkhamisi iliyopita ambapo aliyashambulia mataifa ya bara hilo na kuyafananisha na shimo la choo, Waafrika wameenonyesha kuchukizwa na kitendo huku wengine wakitaka kuchukuliwa hatua kali dhidi ya rais huyo.
-
Mahakama Tanzania yawatupa jela walionaswa na dhahabu na kutaifisha mali zao
Jan 12, 2018 04:31Mahakama ya Dar es Salaam nchini Tanzania imewahukumu wafanyabiashara wawili kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya kiasi cha Shilingi milioni sita.
-
SAUTI, Ziara ya Edward Lowassa, kada wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA katika ikulu ya rais
Jan 11, 2018 08:32Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.
-
Lowassa ampongeza Rais Magufuli wa Tanzania, asema amefanya kazi nzuri
Jan 09, 2018 12:20Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2015 nchini Tanzania, Edward Lowassa leo amekutana na Rais John Magufuli wa nchi hiyo na kumpongeza kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yake tangu aliposhika madaraka.
-
Uozo bandarini Tanzania wamfanya Rais Magufuli afanye mabadiliko mapya ya uongozi
Jan 08, 2018 12:50Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametengua uteuzi wa Kamishna wa Madini Mhandisi Benjamin Mchwampaka na kumteua Profesa Shukrani Manya, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuwa Kamishna wa Madini nchini humo.
-
UN kuchunguza mauaji ya askari 15 wa Tanzania nchini Kongo DR
Jan 06, 2018 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema taasisi hiyo ya kimataifa itachunguza mauaji ya wanajeshi 15 wa kulinda amani raia wa Tanzania waliouawa mapema mwezi uliopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia
Jan 05, 2018 14:52Mwanasheria Mkuu wa chama cha CHADEMA cha nchini Tanzania amesema kuwa anaamini serikali ya Tanzania ilikuwa inajua vyema kuhusu shambulio dhidi yake. Amesema hayo leo Ijumaa mbele ya waandishi wa habari nchini Kenya akiwa katika maandalizi ya kurejea Tanzania kesho Jumamosi. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii ya mwandishi wa Radio Tehran.