Tundu Lissu amshangaa Rais Magufuli kutozungumza chochote kuhusu waliomshambulia
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i38567-tundu_lissu_amshangaa_rais_magufuli_kutozungumza_chochote_kuhusu_waliomshambulia
Mwanasheria Mkuu wa chama cha CHADEMA cha nchini Tanzania amesema kuwa anaamini serikali ya Tanzania ilikuwa inajua vyema kuhusu shambulio dhidi yake. Amesema hayo leo Ijumaa mbele ya waandishi wa habari nchini Kenya akiwa katika maandalizi ya kurejea Tanzania kesho Jumamosi. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hii ya mwandishi wa Radio Tehran.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jan 05, 2018 14:52 UTC