-
Wanasheria nchini Tanzania kuipandisha kizimbani serikali kwa kupiga marufuku maandamano
Jan 04, 2018 04:19Jukwaa la Katiba nchini Tanzania (Jukata) linaloundwa na wanasheria limesema kuwa, litafungua kesi kuishitaki serikali wakati wowote kuanzia sasa kutokana na hatua yake ya kupiga marufuku maandamano ndani ya taifa hilo.
-
SAUTI, Mpango: Uchumi wa Tanzania unazidi kuimarika zaidi ukilinganishwa na nchi wanachama wa EAC
Dec 29, 2017 13:36Tanzania ndio nchi ambayo imeonekana kuwa na kiwango kikubwa cha ukuaji uchumi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo kwa mwaka huu uchumi wake umekuwa kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.
-
Upinzani Tanzania: Kamatakamata dhidi ya wapinzani inatufanya tushindwe kuanika sera zetu
Dec 29, 2017 12:27Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa, kamatakamata dhidi ya viongozi wa upinzani sambamba na kufunguliwa kesi za uchochezi, ni miongoni mwa vikwazo vinavyozuia vyama vinavyounda muungano wa upinzani wa UKAWA kutoweka hadharani mikakati yake ya kufanya siasa mwaka ujao.
-
UN yaimarisha usalama kambi walikouawa walinda amani wa Tanzania huko DRC
Dec 22, 2017 03:49Umoja wa Mataifa umesema kambi ya Semuliki ya Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambayo ilishambuliwa na waasi tarehe 7 mwezi huu na kusababisha vifo vya walinda amani 14 wa Tanzania na wengine 44 kujeruhiwa sasa inaimarishwa.
-
RIPOTI: Tanzania yaitaka UN ichunguze mauaji ya askari wake huko DRC (SAUTI)
Dec 14, 2017 12:56Miili ya wanajeshi 14 wa JWTZ waliouawa Kongo DR yaagwa.
-
Tanzania Haitasitisha Oparesheni za Kulinda amani baada ya askari wake 14 kuuawa DRC
Dec 11, 2017 01:47Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuuawa kwa askari wake 14 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hakutaifanya Tanzania iache kuunga mkono shughuli za ulinzi wa amani.
-
Rais Rouhani aipongeza Tanzania kwa mnasaba wa uhuru wa Tanganyika
Dec 09, 2017 11:51Rais Hassan Rouhani wa Iran amemtumia salamu za pongezi, kheri na fanaka Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika.
-
Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel
Dec 08, 2017 04:24Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania wanakabiliwa na hali mbaya: UNHCR
Dec 01, 2017 12:59Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaishi katikia hali mbaya kwenye kambi za wakimbizi nchini Tanzania kwa sababu ya uhaba wa fedha. hayo yamesemwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
-
Kenya na Tanzania zaelekea katika mzozo wa maji
Nov 30, 2017 13:02Ukanda wa Hifadhi za Taifa za Serengeti nchini Tanzania na Maasai Mara nchini Kenya ambao una mojawapo wa maajabu manane ya dunia yanayovutia watalii unakumbwa na tishio la kimazingira kutokana na nchi hizo mbili kuingia katika mgogoro wa kugombania maji.