RIPOTI: Tanzania yaitaka UN ichunguze mauaji ya askari wake huko DRC (SAUTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i37611-ripoti_tanzania_yaitaka_un_ichunguze_mauaji_ya_askari_wake_huko_drc_(sauti)
Miili ya wanajeshi 14 wa JWTZ waliouawa Kongo DR yaagwa.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Dec 14, 2017 12:56 UTC

Miili ya wanajeshi 14 wa JWTZ waliouawa Kongo DR yaagwa.

Serikali ya Tanzania imeutaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi wa kina na wa wazi juu ya mauaji ya askari 14 wa Tanzania walioshambuliwa na wapiganaji wa kundi la waasi wa ADF la Uganda huko Kongo DR. Wito huo umetolewa hii leo wakati wa shughuli ya kuiaga miili ya wanajeshi hao.

Mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam ana taarifa Zaidi…..