-
Bomoabomoa yazikumba ofisi za Tanesco na Wizara ya Maji nchini Tanzania + Sauti
Nov 27, 2017 14:34Zoezi la bomoabomoa katika ofisi za Tanesco na Wizara ya Maji nchini Tanzania zilizopo katika jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi ikiwa ni takribani wiki mbili tu zimepita tangu rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo auagize wakala wa barabara nchini humo Tanroads kufanya zoezi hilo. Taarifa zaidi anazo mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Burundi kuanza leo Arusha, Tanzania
Nov 26, 2017 23:32Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi inaanza leo Jumatatu huko Arusha, kaskazini mwa Tanzania, na itaendelea hadi Disemba 8.
-
UNICEF: Watoto milioni 180 duniani, wakiwamo Watanzania hawana mustakabali mwema
Nov 20, 2017 23:10Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF limesema licha ya hatua zilizopigwa kimataifa, mtoto 1 kati ya 12 duniani wanaishi katika nchi ambazo matarajio yao leo ni mabaya kuliko ya wazazi wao.
-
Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar
Nov 20, 2017 04:22Mbunge mashuhuri katika bunge la Tanzania ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa hatua yake ya kutopigia kura azimio la Umoja wa Mataifa linalotaka serikali ya Myanmar ikomeshe operesheni za kijeshi zinazolenga kukandamiza jamii ya wachache ya Waislamu Warohingya nchini humo.
-
Tanzania: Ni aibu kuomba misaada nje ya nchi, jambo hilo linalidhalilisha taifa
Nov 19, 2017 04:32Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Philip Mpango amesema kuwa, ni aibu kuomba misaada nje ya nchi na kuongeza kwamba, binafsi amechoka kufanya hivyo kwa kuwa kitendo hicho kinalidhalilisha taifa.
-
Miili ya watu 11 waliofariki dunia katika ajali ya ndege Tanzania yapatikana
Nov 16, 2017 12:35Miili ya abiria 10 na rubani mmoja waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea jana nchini Tanzania imepatikana.
-
SAUTI, Ripoti ya Human Right Watch kuhusu unyanyaswaji wa Watanzania huko Uarabuni yazuiliwa na serikali TZ
Nov 14, 2017 15:12Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Right Watch, limezuiliwa kutoa ripoti yake kuhusiana na uchunguzi wa hali ya watumishi wa ndani wa Kitanzania katika nchi za Kiarabu hususan Oman, Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudia.
-
Watu 18 wapoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania kuanzia Septemba
Nov 12, 2017 04:47Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kuwa, jumla ya watu 18 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu.
-
Magufuli na Museveni walaani uamuzi wa ICC kuhusu Burundi
Nov 11, 2017 12:24Marais wa Tanzania na Uganda wamelaani uamuzi ulitolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), ambayo imemuagiza Mwendesha Mashtaka wake, Fatou Bensouda kuanzisha uchunguzi wa vitendo vya kihalifu dhidi ya binadamu vilivyotokea nchini Burundi.
-
SAUTI, Waziri Mkuu Tanzania: Hakuna haja ya kutumwa wachunguzi wa kigeni kwani vyombo vyetu vinaweza
Nov 09, 2017 11:45Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepinga ombi la upinzani nchini humo la kutaka kuagizwa timu ya wachunguzi wa kigeni ili kufuatilia wahusika wa vitendo vya utekaji nyara na mashambulizi dhidi ya viongozi wa kisiasa hususan wa upinzani.