Bomoabomoa yazikumba ofisi za Tanesco na Wizara ya Maji nchini Tanzania + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i36881-bomoabomoa_yazikumba_ofisi_za_tanesco_na_wizara_ya_maji_nchini_tanzania_sauti
Zoezi la bomoabomoa katika ofisi za Tanesco na Wizara ya Maji nchini Tanzania zilizopo katika jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi ikiwa ni takribani wiki mbili tu zimepita tangu rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo auagize wakala wa barabara nchini humo Tanroads kufanya zoezi hilo. Taarifa zaidi anazo mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Nov 27, 2017 14:34 UTC