Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha

    Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha

    Oct 28, 2017 08:19

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tanzania ni lango muhimu la kuingilia eneo la mashariki mwa Afrika na kwa kuzingatia kuwa Iran ina nafasi na uwezo mkubwa katika sekta mbalimbali na jambo hilo linaufanya wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili kuwa na umuhimu wa kieneo.

  • Gazeti la Tanzania Daima lililopotosha kuhusu idadi ya wagongwa wa VVU lapigwa kufuli na serikali ya Tanzania

    Gazeti la Tanzania Daima lililopotosha kuhusu idadi ya wagongwa wa VVU lapigwa kufuli na serikali ya Tanzania

    Oct 24, 2017 13:35

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa adhabu kwa gazeti la Tanzania Daima la nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuupotosha umma kuhusiana na idadi ya waathirika wa ugonjwa wa ukimwi ndani ya taifa hilo.

  • SAUTI: Rais John Magufuli wa Tanzania awatunuku zawadi waliohusika na ufuatiliaji wa sakata la makinikia

    SAUTI: Rais John Magufuli wa Tanzania awatunuku zawadi waliohusika na ufuatiliaji wa sakata la makinikia

    Oct 23, 2017 13:26

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewatunuku vyeti  Maalum wajumbe wote wa kamati zilizofanya uchunguzi wa kiwango na thamani ya madini katika makinikia, pamoja na kufanya makubaliano kati ya serikali na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold Corporation nchini humo.

  • Tanzania yasimamisha shughuli za taasisi ya Marekani inayohamasisha kujamiiana baina ya watu wa jinsia moja

    Tanzania yasimamisha shughuli za taasisi ya Marekani inayohamasisha kujamiiana baina ya watu wa jinsia moja

    Oct 21, 2017 13:37

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza habari ya kusimamisha shughuli za taasisi moja ambayo ilikuwa ikihamasisha vitendo vya ngono baina ya watu wenye jinsia moja nchini humo.

  • Kuendelea tafiti za kusaka Katiba Mpya nchini Tanzania + SAUTI

    Kuendelea tafiti za kusaka Katiba Mpya nchini Tanzania + SAUTI

    Oct 19, 2017 12:51

    Wananchi wa Tanzania wameendelea kuunga mkono kwa nguvu kubwa uundwaji wa katiba mpya inayotilia mkazo suala la uwajibikaji huku asilimia 79 wanataka mawaziri wanaoteuliwa wapitishwe na bunge na asilimia 64 wanataka wawe na uwezo wa kuwaondoa wabunge katikati ya uchaguzi iwapo hawatatekeleza majukumu yao ipasavyo Mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka dar es salaam Tanzania ana taarifa zaidi…

  • Polisi Tanzania waua watuhumiwa watano wa ujambazi na kukamata maguruneti saba

    Polisi Tanzania waua watuhumiwa watano wa ujambazi na kukamata maguruneti saba

    Oct 18, 2017 13:06

    Polisi jijini Dar es Salaam Tanzania imetangaza habari ya kukamatafa maguruneti saba na kusema inaamini kwamba yangelitumiwa na watu wahalifu nchini humo.

  • Vilevi vyatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la wagonjwa wa akili Tanzania, Dar yaongoza

    Vilevi vyatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la wagonjwa wa akili Tanzania, Dar yaongoza

    Oct 14, 2017 01:53

    Matumizi ya vilevi tofauti hususan pombe, vimetajwa kuwa kichocheo cha ongezeko la wagonjwa wa akili nchini Tanzania ambapo mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa matatizo hayo ya akili.

  • Iran na Tanzania zasisitiza udharura wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Iran na Tanzania zasisitiza udharura wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Oct 12, 2017 02:06

    Waziri wa Masuala ya Uchumi wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wamesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano wa kiuchumi baina ya pande mbili.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania afanya mazungumzo na Rais Rouhani

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania afanya mazungumzo na Rais Rouhani

    Oct 11, 2017 13:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kustawisha uhusiano na nchi za Afrika ni katika misingi ya siasa za nje za Iran na amesisitiza kwamba, Tehran inakaribisha kwa mikono miwili suala la kuimarisha uhusiano na ushirikiano wake na nchi zote za Afrika ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  • Tanzania na Iran zakubaliana kuunda kamisheni ya pamoja ya kiuchumi

    Tanzania na Iran zakubaliana kuunda kamisheni ya pamoja ya kiuchumi

    Oct 11, 2017 12:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zimefikia makubaliano ya kuunda kamisheni ya pamoja ya kiuchumi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS