-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania yupo ziarani nchini Iran
Oct 11, 2017 04:50Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wa Tanzania, Augustine Mahiga yupo nchini Iran kwa safari rasmi ya kikazi.
-
SAUTI, Rais John Magufuli wa Tanzania awaapisha mawaziri na manaibu wao aliowateua hivi karibuni
Oct 09, 2017 13:07Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaapisha mawaziri na Manaibu Waziri ambao wametokana na mabadiliko madogo aliyoyafanya kwenye baraza lake la mawaziri.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, ni bomoabomoa itakavyoathiri misikiti TZ, kupuuzwa siku ya Ijumaa Kenya nk ....
Oct 06, 2017 13:11Ripoti ya matukio ya Kiislamu kuanzia nchini Tanzania ambapo Waislamu wameonyesha kusikitishwa kutokana na bomoabomoa inayoendelea jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo imekuja baada ya kuwekwa alama ya x kwenye misikiti 16 kwa ajili ya kubomolewa.
-
SAUTI, Familia ya Tundu Lissu yakosoa mwendo wa kinyonga wa polisi Tanzania katika kufuatilia sakata la kupigwa risasi ndugu yao
Oct 05, 2017 12:22Familia ya mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu, imelilalamikia jeshi la polisi la nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuchelewa katika kufanya uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi ndugu yao.
-
Waislamu Tanzania washiriki kwenye maombolezo ya Imam Hussein AS
Sep 27, 2017 00:48Waislamu wanajumuika katika Msikiti wa Al Ghadir mjini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ajili ya maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika mwezi wa Muharram.
-
Sauti, Bomoabomoa ya nyumba jijini Dar es Salaam, Tanzania yawaacha wakazi wa jiji hilo na hali ya suitafahamu bila kujua mamlaka husika
Sep 20, 2017 14:08Bomoabomoa ambayo imekuwa ikitekelezwa na uongozi wa jiji la Dar es Salaam, Tanzania umewaacha katika hali ya suitafahamu, wakazi wa jiji hilo.
-
Sauti, Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia Kenya, matukio ya kisiasa Tanzania, kumalizika mwaka 1438 Hijiria na nchini Myanmar
Sep 15, 2017 11:50Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia sisitizo la Waislamu wa Kenya kuwa kitu kimoja na kujiepusha kununuliwa na wanasiasa katika kipindi hiki muhimu kuelekea uchaguzi wa marudio wa tarehe 17 Oktoba.
-
Tanzania na Kenya kufanya mazungumzo ya biashara Novemba
Sep 13, 2017 03:20Kenya na Tanzania zitafanya mazungumzo mwezi Novemba ili kuimarisha biashara kati ya pande hizo mbili.
-
SAUTI, Mashirika ya haki za binaadamu 102 nchini Tanzania yamelaani vitendo vya utumiaji mabavu, uhalifu na utekaji nyara watu
Sep 12, 2017 13:47Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa kushirikiana na mashirika mengine 102 ya utetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kama shambulizi la risasi kwa viongozi mbalimbali, pamoja na matukio ya utekaji nyara wa watu.
-
Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini
Sep 10, 2017 03:02Serikali ya Tanzania imesema mazungumzo yanaendelea ili nchi hiyo ya Afrika Mashariki ianze kuuza mahindi kwenye Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Sudan Kusini.