Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tanzania na Kenya kufanya mazungumzo ya biashara Novemba

    Tanzania na Kenya kufanya mazungumzo ya biashara Novemba

    Sep 13, 2017 03:20

    Kenya na Tanzania zitafanya mazungumzo mwezi Novemba ili kuimarisha biashara kati ya pande hizo mbili.

  • SAUTI, Mashirika ya haki za binaadamu 102 nchini Tanzania yamelaani vitendo vya utumiaji mabavu, uhalifu na utekaji nyara watu

    SAUTI, Mashirika ya haki za binaadamu 102 nchini Tanzania yamelaani vitendo vya utumiaji mabavu, uhalifu na utekaji nyara watu

    Sep 12, 2017 13:47

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa kushirikiana na mashirika mengine 102 ya utetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kama shambulizi la risasi kwa viongozi mbalimbali, pamoja na matukio ya utekaji nyara wa watu.

  • Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini

    Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini

    Sep 10, 2017 03:02

    Serikali ya Tanzania imesema mazungumzo yanaendelea ili nchi hiyo ya Afrika Mashariki ianze kuuza mahindi kwenye Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Sudan Kusini.

  • Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tanzania, apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tanzania, apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Sep 07, 2017 09:43

    Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amevamiwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi kadhaa.

  • Wakimbizi 300 waanza kurejea Burundi kutoka Tanzania

    Wakimbizi 300 waanza kurejea Burundi kutoka Tanzania

    Sep 07, 2017 03:16

    Awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea kwa hiari kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao leo.

  • Rais wa Tanzania asitisha zoezi la bomoa bomoa ya nyumba zaidi ya elfu 17

    Rais wa Tanzania asitisha zoezi la bomoa bomoa ya nyumba zaidi ya elfu 17

    Aug 30, 2017 13:51

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amesitisha zoezi la bomoa bomoa ya nyumba zaidi ya elfu kumi na saba (17, 000) zilizotangazwa kubomolewa na Baraza la Hifadhi ya Mazingira (NEMC).

  • UN: Msaada wa chakula unahitajika kwa ajili ya wakimbizi nchini Tanzania

    UN: Msaada wa chakula unahitajika kwa ajili ya wakimbizi nchini Tanzania

    Aug 27, 2017 10:12

    Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP) umesema umepunguza mgawo wa chakula kwa wakimbizi 320,000 wanaoishi kaskazini magharibi mwa Tanzania kutokana na kupungua misaada ya kifedha.

  • Spika wa Bunge la Tanzania na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakutana na Larijani

    Spika wa Bunge la Tanzania na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakutana na Larijani

    Aug 04, 2017 22:11

    Maspika wa mabunge ya Tanzania na Madagascar na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wamekutana na kufanya mazungumzo katika nyakati tofauti na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ugonjwa wa Hepatitis B unaongoza kwa kuuwa Watanzania kuliko Ukimwi

    Ugonjwa wa Hepatitis B unaongoza kwa kuuwa Watanzania kuliko Ukimwi

    Jul 28, 2017 09:38

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa, maambukizi ya ugonjwa wa Homa ya Ini au Hepatitis B, yameongezeka mara mbili yakilinganishwa na Virusi vya Ukimwi HIV nchini humo.

  • Marais wa Tanzania na Burundi wawataka Warundi kurudi kwao, wasema kuna amani

    Marais wa Tanzania na Burundi wawataka Warundi kurudi kwao, wasema kuna amani

    Jul 20, 2017 23:01

    Marais John Pombe Magufuli wa Tanzania na Pierre Nkurunziza wa Burundi kwa pamoja wamewataka raia wa Burundi waliokimbilia Tanzania, kurudi kwao kwa hiari. Marais hao yametoa kauli hiyo Alkhamisi ya jana mji wa Ngara, mkoa wa Kagera nchini Tanzania.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS