Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • SAUTI, Wanachama wa CUF wanaomuunga mkono Profesa Lipumba wamefurahishwa na ufutaji kesi wa jana

    SAUTI, Wanachama wa CUF wanaomuunga mkono Profesa Lipumba wamefurahishwa na ufutaji kesi wa jana

    Jun 22, 2017 11:46

    Wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa zamani wa chama aliyevuliwa nafasi hiyo na katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Hamad, wameonyesha kufurahishwa na uamuzi wa kufuta kesi zote uliofanywa jana.

  • SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mashindano ya Qur'an Tanzania na ubaguzi wa kidini huko Kenya

    SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mashindano ya Qur'an Tanzania na ubaguzi wa kidini huko Kenya

    Jun 16, 2017 13:37

    Ni ripoti ya matukio ya Kiislamu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ambayo imeandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Hassan Issa Ali.

  • Sakata la Mbunge John Mnyika kutupwa nje ya Bunge Tanzania

    Sakata la Mbunge John Mnyika kutupwa nje ya Bunge Tanzania

    Jun 03, 2017 05:36

    Wabunge nchini Tanzania wameelezea kutofurahishwa na kitendo cha Spika wa Bunge la nchi hiyo Job Ndugai cha kumtoa kwa nguvu mbunge wa upinzani John Mnyika (CHADEMA) na kusema kuwa vitendo hivyo ni unyanyasaji dhidi ya wabunge wa upinzani na ni kuwapendelea wabunge wa chama tawala CCM. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi...

  • IGP mpya wa Tanzania aahidi kuzima mauaji Kibiti

    IGP mpya wa Tanzania aahidi kuzima mauaji Kibiti

    May 31, 2017 12:41

    Awapa tahadhari wanaojihusisha na mauaji hayo kuwa chuma chao ki-motoni.

  • Rais wa Tanzania amfuta kazi waziri Muhongo

    Rais wa Tanzania amfuta kazi waziri Muhongo

    May 24, 2017 09:55

    Rais John Magufuli wa Tanzania ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini wa nchi hiyo, Sospeter Muhongo kutokana na kuhusika katika kashfa ya mchanga wa dhahabu uliokuwa unasafirishwa nje ya Tanzania.

  • EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi

    EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi

    May 21, 2017 23:54

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.

  • Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini awasili Tanzania kwa ziara rasmi

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini awasili Tanzania kwa ziara rasmi

    May 11, 2017 00:16

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, aliwasili nchini Tanzania jioni ya jana kwa ziara ya kikazi.

  • Ajali mbaya yaua wanafunzi 32 na walimu wao mjini Arusha Tanzania

    Ajali mbaya yaua wanafunzi 32 na walimu wao mjini Arusha Tanzania

    May 06, 2017 08:08

    Polisi ya Tanzania imetangaza kutokea ajali mbaya iliyosababisha jumla ya wanafunzi 29, walimu wawili na dereva mmoja kufariki dunia.

  • SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    May 02, 2017 12:13

    CUF yakosoa Muungano wa Tanzania

  • Iran na Tanzania kuimarisha uhusiano wao katika uwekezaji wa nishati

    Iran na Tanzania kuimarisha uhusiano wao katika uwekezaji wa nishati

    Apr 29, 2017 11:33

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tanzania zimekusudia kuimarisha uhusiano baina yao katika sekta ya uwekezaji wa nishati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS