IGP mpya wa Tanzania aahidi kuzima mauaji Kibiti
May 31, 2017 12:41 UTC
Awapa tahadhari wanaojihusisha na mauaji hayo kuwa chuma chao ki-motoni.
Baada ya kushamiri kwa kipindi kirefu mauaji ya viongozi wa serikali, polisi na raia, katika maeneo ya mkoa wa pwani nchini Tanzania bila kupatikana ufumbuzi, hatimae hii leo jeshi la polisi nchini humo kupitia kwa mkuu mpya wa jeshi hilo IGP SIMON SIRRO limeweka bayana kuwa litafanya kila liwezalo kuhakikisha linawatia nguvuni wanaohusika na mauaji hayo ya mfululizo.
Kwa taarifa zaidi tujiunge na na mwandishi wetu wa Dar, OMAR MANJI
Tags