Sakata la Mbunge John Mnyika kutupwa nje ya Bunge Tanzania
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i29978-sakata_la_mbunge_john_mnyika_kutupwa_nje_ya_bunge_tanzania
Wabunge nchini Tanzania wameelezea kutofurahishwa na kitendo cha Spika wa Bunge la nchi hiyo Job Ndugai cha kumtoa kwa nguvu mbunge wa upinzani John Mnyika (CHADEMA) na kusema kuwa vitendo hivyo ni unyanyasaji dhidi ya wabunge wa upinzani na ni kuwapendelea wabunge wa chama tawala CCM. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Jun 03, 2017 05:36 UTC