-
Paspoti za kielektroniki kuzinduliwa Afrika Mashariki
Feb 17, 2016 03:55Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.
-
Balozi Seif: Hakuna tena mwanya wa mazungumzo Zanzibar
Feb 15, 2016 04:28Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema kuwa, hakuna sababu za msingi za kurejewa mazungumzo ya kutafuta mwafaka wa mkwamo wa uchaguzi mkuu wakati tayari tume ya uchaguzi visiwani humo imekwishaitangaza tarehe 20 ya mwezi ujao kuwa ndi siku ya kurejewa uchaguzi huo.
-
Chama cha CUF nchini Tanzania chakubali kurudi kwenye mazungumzo lakini…
Feb 12, 2016 23:53Chama cha Wananchi CUF cha nchini Tanzania kimekubali kurudi kwenye mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi wa amani mkwamo wa kisiasa visiwani Zanzibar, kwa sharti kwamba, mchakato wa uchaguzi wa marudio usimamishwe.
-
Ajali ya Tanzania yaua 13, mwandishi wa Radio Tehran apoteza mke na mtoto
Feb 11, 2016 23:52Watu 11 wamefariki dunia leo huku wengine 29 wamejeruhiwa baada ya Basi la Simba Mtoto kugongana uso kwa uso na lori huko Muheza katika mkoa wa Tanga nchini Tanzania.
-
Rais wa Tanzania atimiza siku 100 akiwa madarakani (Sauti)
Feb 11, 2016 14:53Wakati siku mia moja za rais mpya wa Tanzania DK, John Pombe Magufuli madarakani zikitimia,Watanzania wamemtaka rais huyo kuongeza kasi ya kuwabana mafisadi wanaohujumu uchumi wa nchi hiyo bila kuwaonea huruma.