-
Waziri wa Sayansi wa Iran atahadharisha kuhusu hatari ya Akili Mnemba kuwa "udikteta usioonekana"
Sep 17, 2026 02:49Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran, akitoa tahadhari kuhusu madhara ya ufuatiliaji mpana unaotumia Akili Mnemba amesema, hali hiyo inaweza kuweka mazingira ya kubadilisha udhibiti wa data kuwa udhibiti wa watu na hatimaye kusababisha kuibuka “udikteta usioonekana.”
-
Iran kuongeza ushirikiano wake wa sayansi na teknolojia na nchi za Kiislamu
Jun 01, 2016 23:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapanua zaidi wigo wa ushirikiano wake katika masuala ya sayansi na teknolojia na nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.
-
Iran kati ya nchi bora katika teknolojia ya Nano duniani
Mar 25, 2016 21:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kati ya nchi 10 bora duniani katika teknolojia ya Nano.