-
UN yataka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Jul 02, 2016 08:00Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Haki za Binadamu nchini Myanmar ametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.
-
Kulalamikiwa vitendo vya kibaguzi vya Uingereza dhidi ya Waislamu
May 28, 2016 03:48Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya nchini Uingereza imeulalamikia vikali uamuzi wa kibaguzi wa saerikali ya nchi hiyo wa kuunda timu ya kuchunguza namna ya utekelezaji wa sheria na kanuni za Kiislamu nchini humo.
-
UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US
Apr 16, 2016 07:25Umoja wa Mataifa umekosoa vikali matamshi ya chuki na kichochezi yanayotolewa na baadhi ya wagombea na hususan wa chama cha Republican katika kampeni za urais nchini Marekani.