Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

uchaguzi wa bunge

  • Vielelezo muhimu vya Uchaguzi wa Bunge nchini Syria

    Vielelezo muhimu vya Uchaguzi wa Bunge nchini Syria

    Jul 21, 2020 05:54

    Tarehe 19 Julai, wananchi wa maeneo tofauti ya Syria walijitokeza kwenye maeneo ya kupigia kura kwa ajili ya kushiriki katika Uchaguzi wa Bunge.

  • Walid al Muallim: Uchaguzi wa Bunge ni ushindi mwingine kwa taifa la Syria

    Walid al Muallim: Uchaguzi wa Bunge ni ushindi mwingine kwa taifa la Syria

    Jul 20, 2020 00:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uchaguzi wa Bunge uliofanyika jana Jumapili nchini humo ni ushindi mwingine kwa taifa hilo na utakuwa ni sababu ya kupungua uingilaji wa kigeni kama ambavyo utatia kasi pia mchakato wa kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Magufuli achukua fomu Kuwania urais 2020, Hussein Mwinyi naye ajitosa katika kinyang'anyiro Zanzibar

    Magufuli achukua fomu Kuwania urais 2020, Hussein Mwinyi naye ajitosa katika kinyang'anyiro Zanzibar

    Jun 17, 2020 13:55

    Rais John Magufuli wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano amechukua fomu ya kuwania kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huu.

  • Viongozi wa Israel wapatwa na wahka kutokana na kuenea virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge

    Viongozi wa Israel wapatwa na wahka kutokana na kuenea virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge

    Mar 01, 2020 13:54

    Viongozi wa utawala pandikizi wa Israel wamepatwa na wahka mkubwa kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona kuelekea uchaguzi wa bunge ndani ya utawala huo.

  • Vyombo vingi vya habari duniani vyaakisi wananchi wa Iran walivyoshiriki kwa hamasa katika uchaguzi

    Vyombo vingi vya habari duniani vyaakisi wananchi wa Iran walivyoshiriki kwa hamasa katika uchaguzi

    Feb 21, 2020 15:00

    Vyombo mbalimbali vya habari duniani vimeakisi namna wananchi katika Iran ya Kiislamu walivyoshiriki kwa wingi na kwa hamasa katika uchaguzi wa Bunge la 11 na uchaguzi mdogo wa Baraza la 5 la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi uliofanyika leo nchini kote.

  • Uchaguzi, sherehe ya kitaifa katika kutimia mwaka wa 41 wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Uchaguzi, sherehe ya kitaifa katika kutimia mwaka wa 41 wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 21, 2020 09:14

    Duru ya 11 ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) imeanza leo Ijumaa tarehe 21 Februari katika mji mkuu Tehran na maelfu ya miji na vijiji katika pembe zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Uchaguzi, kielelezo cha ushiriki mkubwa wa kisiasa na nguvu ya wananchi wa Iran

    Uchaguzi, kielelezo cha ushiriki mkubwa wa kisiasa na nguvu ya wananchi wa Iran

    Feb 21, 2020 02:41

    Uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miaka 41 ya baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu unaotarajiwa kufanyika leo Ijumaa unaakisi umuhimu wa chaguzi katika mfumo wa demokrasia ya kidini nchini Iran.

  • Wacomoro washiriki uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na vyama vya upinzani

    Wacomoro washiriki uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na vyama vya upinzani

    Jan 19, 2020 14:21

    Wananchi wa visiwa vya Comoro leo Jumapili wameshiriki katika awamu ya kwanza ya zoezi la uchaguzi wa Bunge uliosusiwa na vyama vya upinzani.

  • Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza

    Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza

    Dec 01, 2019 06:40

    Uingiliaji unaoongezeka kila siku wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Uingereza hususan kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa Bunge la Uingereza siyo tu kwamba, umekabiliwa na ukosoaji wa chama cha upinzani cha Leba, bali filihali chama tawala cha Kihafidhina (Conservative) nacho kimeonyesha wasiwasi kilionao kuhusiana na suala hilo.

  • Mapatano ya kitaifa ya Wapalestina kwa ajili ya kufanyika uchaguzi huko Palestina

    Mapatano ya kitaifa ya Wapalestina kwa ajili ya kufanyika uchaguzi huko Palestina

    Nov 11, 2019 07:55

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kuna mapatano ya kitaifa kwa ajii ya kufanyika uchaguzi wa bunge na wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS