-
Burkina Faso yamtimua balozi wa Ufaransa nchini humo
Jan 03, 2023 07:38Serikali ya Burkina Faso imetangaza kwamba imemtaka balozi wa Ufaransa mjini Ouagadougou, Luc Hallade, aondoka nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa katika kivumbi cha mvutano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 07:17Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 22, 2022 03:08Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,
-
Amir-Abdollahian: Uingiliaji wa Ufaransa katika masuala ya ndani ya Iran haukubaliki
Dec 21, 2022 07:28Akizungumza karibuni na Catherine Collona Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa, Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa hatua za nchi hiyo za kuingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi
Dec 18, 2022 09:43Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.
-
Wizara ya Mambo ya Ndani Ufaransa yakiri: Wanawake nchini humo wana hali ngumu
Dec 18, 2022 04:12Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa haki za wanawake na nafasi zao vinakabiliwa na hali ngumu katika nchi hiyo.
-
Zaidi ya 100 watiwa mbaroni Ufaransa katika hekaheka za ushindi wa soka dhidi ya Morocco
Dec 15, 2022 07:15Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa zaidi ya watu mia moja wametiwa mbaroni mjini Paris baada ya timu ya soka ya nchi hiyo kuishinda Morocco katika nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar.
-
Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran
Dec 09, 2022 02:37Shirika la huduma za satalaiti la Intelsat la Ufaransa limetangaza kukata matangazo ya televisheni ya Press TV ya Iran wiki chache baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya televisheni hii ambayo hurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiingereza duniani kote.
-
Kuondolewa Press TV Eutelsat kumeonyesha sura halisi ya 'uhuru' wa Magharibi
Dec 08, 2022 11:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya kampuni ya satalaiti ya Eutelsat ya Ufaransa ya kuiondoa hewani Televisheni ya Press TV imefichua sura halisi ya Wamagharibi wanaojinadi kuwa watetezi wa uhuru wa kujieleza.
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya redio ya RFI ya Ufaransa
Dec 04, 2022 07:12Serikali ya Burkina Faso imesimamisha nchini humo matangazo ya Redio ya Kifaransa ya RFI inayofadhiliwa na serikali ya Paris, kwa madai ya kutangaza habari za uwongo na upotoshaji.