-
Safari ya Macron mjini Washington na ukosoaji mkubwa wa vita vya kibiashara vya Marekani dhidi ya Ulaya
Dec 02, 2022 10:16Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba ruzuku inayotolewa kwa viwanda vya nchi hiyo dhidi ya makampuni ya Ufaransa ni "hujuma isiyo ya kawaida".
-
Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika
Nov 23, 2022 02:29Katika hali ambayo jinai za Ufaransa katika mataifa mbalimbali barani Afrika zinaendelea kushuhudiwa; Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusiana na satwa na upenyaji wa madola makubwa ya dunia barani Afrika.
-
Vijana wa Ufaransa wapinga marufuku ya hijabu katika maeneo ya umma
Nov 13, 2022 11:13Matokeo ya uchunguzi uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya vijana wa nchi hiyo wanapinga marufuku vazi la hijabu la Kiislamu katika maeneo ya umma.
-
Rais wa Ufaransa: Inapasa tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Iran
Nov 08, 2022 07:29Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa vitisho vya Iran vimevuka mipaka ya Asia Magharibi, na kueleza kwamba mbinu za kukabiliana na vitisho vya Tehran duniani inapasa zibadilishwe.
-
Waziri wa Ufaransa akiri kuadimika dizeli na petroli mjini Paris
Oct 20, 2022 00:44Waziri wa Usafirishaji wa Nishati wa Ufaransa ametangaza kuadimika mafuta ya dizeli ya petroli katika vituo vya mafuta vya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa nchini Algeria
Oct 11, 2022 11:16Jumapili ya juzi tarehe 9 Oktoba, Waziri Mkuu wa Ufaransa aliwasili katika mji mkuu wa Algeria Algiers akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake kwa ajili ya safari rasmi ya siku tatu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Maelfu waandamana Paris wakitaka Ufaransa iondoke NATO
Oct 10, 2022 02:46Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, wakishinikiza nchi hiyo ijiondoe katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).
-
Nchi za Ulaya zitakabiliwa na hali ngumu katika msimu wa baridi kali
Oct 08, 2022 07:44Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema Ulaya itakabiliwa na matatizo mengi katika kujidhaminia gesi wakati wa msimu wa baridi wa mwaka huu.
-
Licha ya kufungwa misikiti 24 nchini Ufaransa, Marine Le Pen ataka misikiti zaidi ifungwe
Oct 05, 2022 07:09Mwanasiasa mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa Ufaransa, Marine Le Pen amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Gérald Darmanin, kufunga misikiti zaidi ya Waislamu akisema kuwa kufungwa misikiti 24 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita haitoshi.
-
Kampeni za mabinti wa Kiislamu Ufaransa za kupigania vazi la hijabu mashuleni
Oct 05, 2022 02:12Licha ya kuweko aina kwa aina ya sheria na mibinyo ya kuzuia vazi la hijabu kwa mabinti na wanawake wa Kiislamu nchini Ufaransa, lakini wasichana wanaovaa hijabu katika nchi hiyo ya bara Ulaya wanatafuta njia za kutatuliwa tatizo hilo wakitumia mbinu nas mikakati mbalimbali.