-
Maafa ya vifo vya wakimbizi katika mfereji wa Manch, matokeo ya mzozo kati ya Ufaransa na Uingereza
Nov 27, 2021 11:28Zaidi ya wakimbizi 27 kutoka pwani ya kaskazini ya Ufaransa waliovuka Mfereji wa Manchi wakijaribu kufika katika ardhi ya Uingereza walighariki na kufariki Jumatano jioni, Novemba 24, baada ya boti yao kuzama.
-
Uingereza na Ufaransa zashambuliana kwa maneno kuhusu wakimbizi
Nov 25, 2021 23:18Nchi mbili za Ulaya za Uingereza na Ufaransa zimeingia kwenye malumbano na vita vikali vya maneno baada ya wakimbizi 34 kupoteza maisha baharini wakati walipokuwa njiani kukimbilia Uingereza.
-
Ripoti: Misri ilitumia taarifa za kijasusi za Ufaransa kuua raia
Nov 22, 2021 08:33Ripoti mpya imefichua kuwa, vikosi vya usalama vya Misri vimetumia taarifa za kiintelijensia za jeshi la Ufaransa kuwahujumu na hata kuwaua raia wa nchi hiyo ya Kiarabu wanaotuhumiwa kufanya magendo.
-
Wanne wajeruhiwa Burkina Faso katika kupinga msafara wa kijeshi wa Ufaransa
Nov 21, 2021 04:42Vyombo vya habari vimeripot kwamba raia wanne wa Burkina Faso wamejeruhiwa katika malalamiko ya kupinga kupita nchini humo msafara wa kijeshi wa Ufaransa kuelekea nchi jirani ya Niger.
-
Algeria yafunga ofisi zake sita za kibalozi nchini Ufaransa
Nov 19, 2021 04:09Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuvurugika uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Algeria, serikali ya Algiers imetangaza habari ya kufunga balozi zake ndogo zipatazo sita katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Mkutano wa Paris wataka askari wa kigeni walioivamia Libya waondoke nchini humo
Nov 13, 2021 08:06Washiriki wa mkutano wa Paris, mji mkuu wa Ufaransa wametaka kufanyike uchaguzi katika tarehe iliyopangwa nchini Libya, kama ambavyo wamehimiza pia wajibu wa kutoka wanajeshi wa kigeni nchini humo.
-
Rais wa Algeria akataa mwaliko wa Ufaransa wa kushiriki katika mkutano wa Paris kuhusu Libya
Nov 11, 2021 08:22Rais wa Algeria ametangaza kuwa, hatashiriki katika mkutano wa Paris ulioitishwa kwa ajili ya kujadili hali ya kisiasa nchini Libya.
-
Algeria: Ni baidi kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa katika mazingira ya sasa
Nov 07, 2021 00:12Rais wa Algeria amesema katika mazingira ya sasa ni jambo lililombali kuweza kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa baada ya matamshi hatari yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo.
-
Serikali ya Ufaransa yaendeleza hujuma dhidi ya Uislamu, yazuia kampeni ya EU ya kutetea hijabu
Nov 04, 2021 04:19Kampeni ya Ulaya ya kupambana na hujuma dhidi ya Uislamu na kutetea vazi la staha la hijabu imesimamishwa kutokana na mashinikizo ya serikali ya Ufaransa.
-
Waziri Mkuu wa Australia ajibizana na Rais wa Ufaransa kuhusu mkataba wa nyambizi za nyuklia
Nov 02, 2021 02:40Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison amejibu tuhuma alizotoa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi yake kuhusiana na kuvunjwa kwa mkataba wa ununuzi wa nyambizi za nyuklia kutoka Ufaransa.