-
Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris
Oct 31, 2021 07:05Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana Paris.
-
Mwanaharakati Rémy Daillet ashtakiwa kwa kupanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Ufaransa
Oct 29, 2021 08:46Mwanaharakati maarufu wa mrengo wenye siasa kali wa kulia nchini Ufaransa ameshtakiwa kwa tuhuma za ugaidi, kula njama ya kupindua serikali ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo na kuunda genge la wahalifu wa kuvuruga amani nchini humo.
-
Wanajeshi Sudan waendelea kukabiliana na waandamanaji; vurugu zatawala
Oct 29, 2021 04:36Vyombo vya usalama nchini Sudan vimeendelea kupambana na waandamanaji wenye hasira wanaoipinga mapinduzi ya kijeshi ya Jumatatu iliyopita ambayo yamezidi kuzorotesha kipindi cha mpito cha kidemokrasia, na kusababisha ukosolewaji mkubwa kieneo na kimataifa.
-
Kupungua kwa asilimia 90 hatari ya kifo baada ya kupata chanjo ya corona
Oct 12, 2021 08:08Matokeo ya uchunguzi mpya wa kisayansi uliofanywa nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa, chanjo zinapunguza kwa asilimia 90 hatari ya kifo na kulazwa hospitali kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19.
-
Algeria yayasusia na kuyawekea vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa
Oct 11, 2021 23:04Taasisi moja ya Algeria imetangaza habari ya kususiwa na kuwekewa vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa nchini humo, ikiwa ni majibu ya Algiers kwa matamshi ya kifidhuli ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron.
-
Tebboune: Algeria si koloni tena la Ufaransa
Oct 11, 2021 04:44Rais wa Algeria imetangaza kuwa Ufaransa inapasa kusahau kuwa Algeria ni nchi iliyokoloniwa.
-
Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya
Oct 10, 2021 22:58Akizungumza karibuni katika mji wa Montpellier na viongozi wa nchi za Kiafrika za eneo la Sahel, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa kwa kushiriki katika mashambulio ya kijeshi yaliyofanyika dhidi ya Libya nwaka 2011.
-
Kufichuliwa kashfa ya kulawitiwa mamia ya watoto katika makanisa ya Katoliki nchini Ufaransa
Oct 05, 2021 23:38Katika miaka ya hivi karibuni kashfa za kubaka na kunajisi za makasisi, maaskofu na maafisa wa kanisa Katoliki nchini Marekani na barani Ulaya zimekabiliwa na wimbi kubwa la ukosoaji dhidi ya Vatican.
-
Watoto laki 3 elfu 30 wamefanyiwa ukatili wa kingono na viongozi wa Kanisa Katoliki
Oct 05, 2021 23:37Ripoti iliyotolewa na jopo huru la uchunguzi imebaini kuwa katika kipindi cha miaka 70 iliyopita karibu watoto laki tatu elfu 30 wamefanyiwa ukatili wa kingono katika makanisa Katoliki na taasisi nyingine za kanisa hilo nchini Ufaransa
-
Ufaransa yataka kuondolewa mivutano katika uhusiano wake na Algeria
Oct 05, 2021 23:36Rais wa Ufaransa ametoa wito wa kuondolewa mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Algeria.