-
Tunisia yasikitishwa na uamuzi wa Ufaransa wa kupunguza viza kwa raia wake
Oct 04, 2021 00:42Rais Kais Saied wa Tunisia amefanya mazungumzo na simu na Rais mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kueleza kusikitishwa na umauzi uliochukuliwa na Paris wa kupunguza idadi ya viza zilizokuwa zikitolewa kwa raia wa Tunisia wanaotaka kuelekea Ufaransa.
-
Mvutano katika uhusiano wa Algeria na Ufaransa
Oct 03, 2021 13:43Usiku wa Jumamosi iliyopita serikali ya Algeria ilimwita nyumbani balozi wake nchini Ufaransa kwa ajili ya mashauriano ikilalamikia matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron dhidi ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Kanisa Katoliki Ufaransa lina maelfu ya makasisi waliolawiti watoto
Oct 03, 2021 09:19Maelfu ya makasisi na maafisa wengine wa Kanisa Katoliki nchini Ufaransa wanakabiliwa na tuhuma za kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kingono watoto wadogo.
-
Taasisi mbalimbali Ufaranza zataka kufichuliwa uuzaji wa silaha wa nchi hiyo kwa Saudia na Imarati
Sep 24, 2021 08:04Taasisi zisizo za serikali nchini Ufaransa zimetaka kuwekwa wazi taarifa ya ushuru wa forodha kuhusu uuzaji silaha wa nchi hiyo kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Programu ya ujasusi ya Israel imedukua simu za mawaziri wasiopungua 5 wa Ufaransa
Sep 24, 2021 04:13Imefichuliwa kuwa programu ya ujasusi ya Israel ya Pegasus imedukua na kufanya ujasusi katika simu za rununu (mobile phone) za mawaziri wasiopungua 5 wa serikali ya Ufaransa.
-
Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa
Sep 23, 2021 22:46Kufuatia mazungumzo ya simu ya Marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa hapo siku ya Jumatano, viongozi hao wametoa taarifa ya pamoja wakisema wameamua kuendelea na mashauriano kwa ajili ya kutatua hitilifu zilizojitokeza baina ya pande mbili kuhusu mkataba wa kiusalama wa AUKUS.
-
Rais wa Ufaransa awaomba radhi wananchi wa Algeria
Sep 21, 2021 22:59Hatimaye baada ya kupita miongo mingi tangu Wafaransa watende jinai nchini Algeria na katika hali ambayo, kumekuwa kukifichuliwa nyaraka mpya za jinai hizo, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewaomba radhi wananchi wa Algeria na kuahidi kupasishwa sheria katika siku za usoni ambayo itatoa fidia kwa nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Mawaziri wa EU waiunga mkono Ufaransa dhidi ya Marekani katika mzozo wa nyambizi
Sep 21, 2021 03:10Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Joseph Borrell amesema nchi wanachama wa umoja huo zimeonyesha uungaji mkono wao na mshikamano kwa Ufaransa katika mzozo wa nyambizi kati yake na Marekani.
-
Rais Macron awaomba radhi Waislamu wa Algeria kwa jinai zilizofanywa na nchi yake nchini humo
Sep 20, 2021 22:11Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron jana Jumatatu aliwaomba radhi Waislamu wa Algeria kutokana na jinai ilizofanywa na Ufaransa katika nchi hiyo.
-
Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington
Sep 18, 2021 21:52Ufaransa imechukua uamuzi wa kumwita nyumbani balozi wake mjini Washington sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa serikali ya Paris na Marekani. Vilevile imechukua hatua ya kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Australia kama hatua ya kuonesha malalamiko yake.