-
Algeria: Ufaransa inakataa kutoa ramani ya maeneo yaliyotumiwa kwa majaribio ya nyuklia
Jul 05, 2021 05:49Waziri wa Mujahideen (maveterani wa vita vya ukombozi) nchini Algeria, Tayeb Zitouni amesema kuwa Ufaransa inakataa kuikabidhi nchi hiyo ramani ya maeneno yaliyotumiwa kwa ajili ya majaribio ya milipuko ya nyuklia yaliyofanywa na serikali ya Paris katika majangwa ya Algeria kwenye miaka ya sitini ya karne iliyopita.
-
Wabunge Ufaransa wakosoa kuteuliwa afisa wa UAE kuongoza Interpol
Jun 19, 2021 00:40Makumi ya Wabunge wa Ufaransa wamelalamikia hatua ya kuteuliwa afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa Rais wa Polisi ya Kimataifa (Interpol).
-
Ufaransa yasitisha Operesheni ya Barkhane eneo la Sahel, Afrika
Jun 11, 2021 03:28Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi hiyo karibuni hivi itasitisha Operesheni ya Barkhane ya eti kupambana na magenge ya kigaidi katika eneo la Sahel la Afrika.
-
Kuzabwa kibao Macron, kielelezo cha malalamiko ya wananchi na mgawanyiko wa kisiasa na kijamii Ufaransa
Jun 10, 2021 08:28Katika matamshi yake ya kwanza kuhusu safari yake kwenye eneo la Ladrum huko Kusini Mashariki mwa Ufaransa na kuhusu kibao alichozabwa na mtu mmoja ambaye bado hajatambulishwa, Rais Emmanuel Macron amesema, mtu kueleza mitazamo yake ni jambo linalokubalika, lakini ujinga na ukatili havina nafasi katika utawala wa kidemokrasia.
-
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa azabwa kibao + Video
Jun 08, 2021 22:01Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amezabwa kibao wakati akiwa ziarani kusini mashariki mwa nchi hiyo. Katika kuonesha kuwa bado watu wanampenda, rais huyo anayeshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu, alikwenda haraka kuwapa mikono watu waliokuwa wamesimama pembeni. Mtu wa kwanza kumpa mkono ametumia fursa hiyo hiyo kumzaba kibao.
-
'Vikwazo vitaongeza ugumu katika mgogoro wa Mali, wananchi watazidi kuumia'
Jun 05, 2021 06:59Siku moja baada ya Ufaransa kukata uhusiano wake wa kijeshi na nchi ya Mali, Waziri Mkuu mtarajiwa wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika amesema kuwa, nchi yake inaheshimu sheria za kimataifa lakini vikwazo vitazidisha utata katika mgogoro wa nchi hiyo na vitazidi kuwaumiza wananchi wa kawaida.
-
Sisitizo la Macron kuhusu kusitishwa uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jun 03, 2021 08:57Katika hali ambayo kunafanyika jitihada za kuhitimisha mgogoro wa Libya ili uchaguzi utakaoyashirikisha makundi yote ya kisiasa ufanyike, uwepo wa wanajeshi wa kigeni na uingiliaji wa madola ajinabi katika mchakato wa amani nchini humo vinatambuliwa kuwa ni kizuizi katika kufikia amani ya kudumu.
-
Macron akiri, Ufaransa ilihusika katika mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994
May 28, 2021 02:42Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba, nchi yake ilihusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.
-
Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina
May 25, 2021 06:03Jumapili iliyopita Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa aliashiria hujuma ya kinyama iliyofanywa karibuni na utawala haramu wa Israel katika miji kadhaa ya Waarabu katika ardhi unazozikalia kwa mabavu na kutahadharisha dhidi ya ubaguzi wa rangi unaotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Waziri wa Mambo Nje wa Ufaransa atahadharisha kuhusu sera za Apartheid za Israel dhidi ya Wapalestina
May 24, 2021 07:10Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu kuendelea kwa muda mrefu ubaguzi wa Apartheid wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.