-
Upinzani wa Ujerumani na Ufaransa wa kufanyika maandamano dhidi ya Israel; nembo ya uungaji mkono wa Magharibi kwa jinai za Wazayuni
May 15, 2021 05:26Baada ya kuwaka moto wa vita na mapigano baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina katika siku za hivi karibuni, madola ya Magharibi yamefumbia macho kabisa jinai za Tel-Aviv hususan hujuma na mashambulio ya anga na kulishambulia kwa mabomu eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Makundi ya kutetea haki za binadamu yapinga uamuzi wa Ufarasa wa kupiga marufuku maandamano dhidi ya Israel
May 14, 2021 08:07Wanaharakati na makundi ya kutetea haki za binadamu yamepinga uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa wa kupiga marufuku maandamano ya kupinga ukatili na mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina ambayo yamepangwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii.
-
Kuendelea kunyanyaswa na kupigwa vita Waislamu nchini Ufaransa
May 14, 2021 05:10Viongozi wa Ufaransa wanaendelea kuchukua hatua za kuipiga vita waziwazi dini tukufu ya Kiislamu. Hatua ya karibuni kabisa ni ya kupigwa marufuku Muislamu wa kike asijiandikishe kugombea katika uchaguzi kutokana na Hijab yake.
-
Jeshi la Ufaransa lawataka wanajeshi walioandika barua ya kutokea mapinduzi wajiuzulu
May 12, 2021 06:38Mkuu wa Majeshi ya Ufaransa amewataka wanajeshi waliosaini barua inayotahadharisha kuhusu hatari ya kutokea vita vya ndani nchini humo wajiuzulu kutoka kwenye jeshi la nchi hiyo.
-
Mzozo mkubwa baina ya Uingereza na Ufaransa, matunda ya awali ya kiusalama ya Brexit
May 08, 2021 21:41Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kwa jina la Brexit, sasa hivi matunda na matokeo mabaya ya kujitoa huko yameanza kuonekana katika nyuga mbalimbali.
-
Zarif akosoa siasa za kindumakuwli na kibaguzi za Ufaransa
Apr 29, 2021 05:24Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran amezungumzia majaribio ya makombora yaliyofanywa na Ufaransa na juhudi za Paris na baadhi ya nchi za Magharibi za kutaka kubana miradi ya kutengeneza makombora ya Iran na kuandika kuwa; Inaonekana kuwa, siasa za kibaguzi na kindumakuwili ni jambo linalowezekana.
-
Misimamo mipya ya chuki dhidi ya Uislamu ya rais Macron wa Ufaransa
Apr 25, 2021 11:07Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa mara nyingine tena ameunasibisha Uislamu na ugaidi na kujeruhi hisia za Waislamu duniani kote.
-
Malalamiko dhidi ya marufuku ya hijabu nchini Ufaransa yaendelea
Apr 23, 2021 07:32Azimio la Baraza la Seneti la Ufaransa la kuwapiga marufuku mabinti wa Kiislamu na mama zao kuvaa vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu katika maeneo ya uma limeendelea kulalamikiwa.
-
Polisi ya Ufaransa imemtahadharisha Macron kuhusu kuongezeka ghasia za mitaani
Apr 20, 2021 03:25Polisi ya ufaransa imemtahadharisha Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusu kuongezeka ghasia na machafuko ya mitaani.
-
Mshauri wa Rais wa Algeria: Ufaransa ilieneza ujinga nchini zama za ukoloni
Apr 19, 2021 06:51Mshauri wa Rais wa Algeria amesema kuwa Ufaransa ilifanya kazi ya kueneza ujinga wa kutojua kusoma na kuandika wakati wa ukoloni wa nchi hiyo nchini Algeria.