Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

    Jul 26, 2022 07:04

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika.

  • Njaa yaua watu 900 katika eneo la Karamoja, Uganda

    Njaa yaua watu 900 katika eneo la Karamoja, Uganda

    Jul 26, 2022 03:24

    Mamia ya watu wamepoteza maisha kutokana na makali ya njaa katika eneo la Karamoja, kaskazini mwa Uganda.

  • Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

    Jul 07, 2022 03:39

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili.

  • Ajali ya basi yasababisha vifo vya watu wasiopungua 20 nchini Uganda

    Ajali ya basi yasababisha vifo vya watu wasiopungua 20 nchini Uganda

    May 04, 2022 10:24

    Polisi wa Uganda wamesema watu 20 wameuawa baada ya basi la abiria kuanguka kwenye shamba la chai nje ya barabara kuu magharibi mwa Uganda.

  • UNHCR yahitaji dola milioni 47.8 kuwasaidia wakimbizi Uganda

    UNHCR yahitaji dola milioni 47.8 kuwasaidia wakimbizi Uganda

    Apr 30, 2022 23:40

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR na wadau wengine 44 wa misaada ya kibinadamu wametoa ombi la dharura la dola za Marekani milioni 47.8 ili kukabiliana na mahitaji muhimu ya maelfu ya wakimbizi waliofika Uganda mwaka huu, wakikimbia ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na za mapigano ya hapa na pale nchini Sudan Kusini.

  • Viongozi wa Waislamu Uganda wazika tofauti zao, wapania kuunda taasisi moja

    Viongozi wa Waislamu Uganda wazika tofauti zao, wapania kuunda taasisi moja

    Apr 13, 2022 03:28

    Viongozi wa makundi na mashirika ya Kiislamu nchini Uganda wametangaza kuungana na kusuluhisha tofauti zao, sanjari na kusaini makubaliano ya kuunda taasisi moja itakayowaleta pamoja na kuwaunganisha.

  • EU yaeleza wasiwasi wake kuhusu kambi za mateso nchini Uganda

    EU yaeleza wasiwasi wake kuhusu kambi za mateso nchini Uganda

    Apr 07, 2022 06:46

    Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Ulaya katika Masuala ya Haki za Binadamu ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuteswa wafungwa na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu nchini Uganda.

  • Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia

    Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah aaga dunia

    Mar 20, 2022 08:40

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Uganda, Jacob L'Okori Oulanyah amefariki dunia akitibiwa nchini Marekani.

  • Jeshi la Uganda limekanusha kuwa mtoto wa Museveni amejiuzulu

    Jeshi la Uganda limekanusha kuwa mtoto wa Museveni amejiuzulu

    Mar 14, 2022 10:25

    Jeshi la Uganda limesema leo Jumatatu kwamba mtoto wa kiume wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye anatajwa kuwa ndiye atakayerithi miikoba ya baba yake kama rais ajaye wa Uganda, hajajiuzulu.

  • ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC dola milioni 325 tu kufidia gharama za vita

    ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC dola milioni 325 tu kufidia gharama za vita

    Feb 10, 2022 04:05

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetangaza kuwa dola milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambayo ilikuwa ikidai zaidi ya dola bilioni 11 kwa uvamizi uliofanywa na jeshi la serikali ya Kampala mashariki mwa nchi hiyo wakati wa vita vya miaka ya 1998-2003.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS