Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF

    Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF

    Feb 08, 2022 04:16

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuwatia mbaroni raia watatu wa Tanzania, kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la wanamgambo wa ADF.

  • Viongozi wa Kiislamu Uganda waunga mkono serikali kuhusu mwaka mpya + Sauti

    Viongozi wa Kiislamu Uganda waunga mkono serikali kuhusu mwaka mpya + Sauti

    Jan 02, 2022 03:22

    Serikali ya Uganda imepiga marufuku mijumuiko ya kusherehekea mwaka mpya ili kuzuia maambukizi ya Corona hatua ambayo imeungwa mkono na viongozi wa Kiislamu

  • Rais Museveni asema shule zitafunguliwa Uganda mwezi huu

    Rais Museveni asema shule zitafunguliwa Uganda mwezi huu

    Jan 01, 2022 09:08

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa, shule za nchi hiyo ambazo zilikuwa zimefungwa tokea Machi 2020 kutokana na msambao wa maradhi ya Covid-19, sasa zitafunguliwa mwezi huu wa Januari, 2022.

  • DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI

    DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI

    Dec 29, 2021 08:43

    Jeshi la Uganda linasema limefanikiwa kudhibiti kambi kubwa ya waasi wa ADF, inayofahamika kama Kambi Ya Yua iliyokuwa inawahifadhi waasi zaidi ya 600 na familia zao, katika operesheni zao inazoshirikiana na wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wananchi wa Uganda walalamikia kutoona matunda yoyote ya Uhuru + SAUTI

    Wananchi wa Uganda walalamikia kutoona matunda yoyote ya Uhuru + SAUTI

    Dec 29, 2021 05:21

    Tangu mkoloni Muingereza aondoke Uganda miaka 59 iliyopita raia wa nchi hiyo hawajaona faida yoyote katika maisha yao ya kila siku

  • Washukiwa watano wa miripuko ya kigaidi Uganda wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Washukiwa watano wa miripuko ya kigaidi Uganda wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi

    Nov 19, 2021 08:25

    Polisi ya Uganda imesema, imewaua kwa kuwapiga risasi washukiwa watano na kuwatia nguvuni watu 21 kufuatia miripuko pacha ya mashambulio ya mabomu ya siku ya Jumanne iliyopita, ambayo iliua watu wasiopungua watano na kujeruhi makumi ya wengine katika mji mkuu wa nchi hiyo Kampala.

  • Askari 2 wa Uganda wahukumiwa kifo kwa mauaji ya raia Somalia

    Askari 2 wa Uganda wahukumiwa kifo kwa mauaji ya raia Somalia

    Nov 14, 2021 04:46

    Askari wawili wa Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) wanaohudumu kwenye Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) wamehukumiwa kifo, kutokana na mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Wabunge Uganda watakiwa kuonesha cheti cha corona kabla ya kuingia bungeni

    Wabunge Uganda watakiwa kuonesha cheti cha corona kabla ya kuingia bungeni

    Oct 29, 2021 06:37

    Naibu Spika wa Bunge la Uganda Anitah Among amewaelekeza wabunge kuwasilisha vyeti vya chanjo ya COVID-19 kabla ya kuingia bungeni.

  • Shambulio jipya la bomu laua na kujeruhi watu kadhaa nchini Uganda

    Shambulio jipya la bomu laua na kujeruhi watu kadhaa nchini Uganda

    Oct 26, 2021 04:38

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika mlipuko mwingine uliolenga basi la abiria nchini Uganda.

  • Rais wa Uganda: Mlipuko wa bomu Kampala lilikuwa shambulio la kigaidi

    Rais wa Uganda: Mlipuko wa bomu Kampala lilikuwa shambulio la kigaidi

    Oct 24, 2021 11:45

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mlipuko wa bomu uliotokea usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Kampala huenda lilikuwa shambulio la kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS