-
Waingereza wafakamia chakula cha mifugo kutokana na kupanda gharama za maisha
Dec 02, 2022 22:50Mgogoro wa gharama kubwa za maisha nchini Uingereza umekuwa sababu ya Waingereza katika baadhi ya miji kula chakula cha wanyama wa kufuga majumbani.
-
Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds
Nov 22, 2022 04:06Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds tukufu, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Tehran yalaani vikwazo vipya vya EU dhidi ya Iran
Nov 15, 2022 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV.
-
Uingereza yaazimia kuwaondoa askari wake nchini Mali
Nov 15, 2022 03:43Uingereza imetangaza habari ya kutaka kuwaondoa mamia ya askari wa nchi hiyo walioko nchini Mali chini ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MINUSMA.
-
Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran
Oct 25, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU
Oct 24, 2022 00:30Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London wakishinikiza nchi hiyo irejee katika Umoja wa Ulaya.
-
Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu
Oct 02, 2022 04:08Waislamu wanaoishi London, mji mkuu wa Uingereza wamefanya maandamano ya kulalamikia vitendo vya kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu na chokochoko dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Maelfu waandamana Uingereza kulalamikia gharama za juu za maisha
Oct 02, 2022 04:00Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Uingereza, kulalamikia mgogoro wa mfumko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha.
-
Watu wa Wales wamwambia Mfalme Charles: Unafuja mali zetu katika sherehe zako, wewe si mfalme wetu
Sep 18, 2022 07:53Mfalme wa Uingereza, Charles III, amekabiliwa na hali ya aibu na fedheha huko Cardiff, mji mkuu wa Wales, alipokuwa akisalimiana na raia kadhaa waliokuwa wamekusanyika kuhudhuria kutawazwa kwake, wakati mtu mmoja alipojitokeza na kumshutumu mfalme kuwa anafuja pesa za walipakodi kwa ajili ya sherehe za kifalme.
-
Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza
Sep 18, 2022 03:36Makumi ya watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, kulaani safari ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Uingereza.