-
Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi
Sep 11, 2022 07:36Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani mauaji ya mtu mmoja mwenye asili ya Afrika yaliyofanywa na askari polisi wa nchi hiyo.
-
Kifo cha Malkia; mashabiki wa soka Uingereza waitisha pesa zao
Sep 11, 2022 07:33Jumuiya ya Mashabiki wa Soka Uingereza (FSA) imetoa mwito wa mashabiki kurejeshewa pesa walizotoa kwa ajili ya kununua tiketi za kushuhudia michuano ya mpira wa miguu; lakini baadaye ikaakhirishwa kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa nchi hiyo.
-
Mpango wa UK wawaacha bila makazi wahanga wa mauaji ya kimbari Rwanda
Sep 01, 2022 03:06Wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda waliofurushwa katika mabweni walikokuwa wakiishi kutokana na mpango tata wa wakimbizi wa Uingereza, wanalalamika kuwa wameachwa bila pahala pa kuishi, licha ya mabweni hayo kusalia bila watu.
-
Wakenya waishitaki Uingereza kwa jinai za enzi za ukoloni
Aug 24, 2022 06:25Kundi la raia wa Kenya limeifungulia mashitaka serikali ya Uingereza katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Ulaya, likitaka iwajibishwe kwa jinai ilizotenda dhidi ya wananchi wa Kenya enzi za ukoloni.
-
UK: Tuko tayari kutumia silaha za atomiki ikitulazimu
Aug 24, 2022 06:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ambaye anatazamiwa kupanda ngazi na kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema serikali yake haitasita kutumia silaha za maangamizi za nyuklia, iwapo nchi hiyo italazimika kufanya hivyo.
-
China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita
Aug 18, 2022 23:34Balozi wa China mjini London ameonya kuwa, uingiliaji wa mambo unaofanywa na Uingereza na Marekani juu ya suala la Taiwan hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya vita.
-
Malkia wa Uingereza aitwa 'Mkoloni' na Seneta wa Australia wakati wa kula kiapo
Aug 01, 2022 22:56Kauli iliyotolewa na seneta mmoja wa Australia ya kumwita mkoloni Malkia Elizabeth II wa Uingereza imeibua makelele ndani ya bunge la Australia.
-
Uchunguzi: Jeshi la UK liliua makumi ya wafungwa wa Kiafghani
Jul 12, 2022 23:12Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la BBC la Uingereza umefichua kuwa, askari wa nchi hiyo ya Ulaya waliwaua kwa kuwafyatulia risasi raia zaidi ya 50 wa Afghanistan, licha ya kuwa hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.
-
Afisa wa Iran: Ubaguzi umekita mizizi katika historia ya Uingereza
Jun 22, 2022 23:08Ubaguzi na udhalilishaji wa binadamu ni mambo yaliyokita mizizi katika historia ya Uingereza. Hayo yamesemwa na Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran, Kazem Gharibabadi katika ujumbe wake kwa njia ya Twitter.
-
UN yajitenga na mpango wa kuwahamishia wakimbizi wa UK nchini Rwanda
Jun 11, 2022 05:50Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limejiweka mbali na madai kuwa linaunga mkono mpango wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi nchini Uingereza.