Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Uchunguzi: Jeshi la UK liliua makumi ya wafungwa wa Kiafghani

    Uchunguzi: Jeshi la UK liliua makumi ya wafungwa wa Kiafghani

    Jul 12, 2022 23:12

    Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la BBC la Uingereza umefichua kuwa, askari wa nchi hiyo ya Ulaya waliwaua kwa kuwafyatulia risasi raia zaidi ya 50 wa Afghanistan, licha ya kuwa hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.

  • Afisa wa Iran: Ubaguzi umekita mizizi katika historia ya Uingereza

    Afisa wa Iran: Ubaguzi umekita mizizi katika historia ya Uingereza

    Jun 22, 2022 23:08

    Ubaguzi na udhalilishaji wa binadamu ni mambo yaliyokita mizizi katika historia ya Uingereza. Hayo yamesemwa na Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran, Kazem Gharibabadi katika ujumbe wake kwa njia ya Twitter.

  • UN yajitenga na mpango wa kuwahamishia wakimbizi wa UK nchini Rwanda

    UN yajitenga na mpango wa kuwahamishia wakimbizi wa UK nchini Rwanda

    Jun 11, 2022 05:50

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limejiweka mbali na madai kuwa linaunga mkono mpango wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi nchini Uingereza.

  • Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu

    Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu

    Jun 11, 2022 05:49

    Wanazuoni wa Kiislamu nchini Uingereza wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" yenye kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.

  • 70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini

    70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini

    Jun 08, 2022 06:20

    Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.

  • Russia: Madai kuwa Iran imetuletea silaha ni uongo na ni propaganda za Wamagharibi

    Russia: Madai kuwa Iran imetuletea silaha ni uongo na ni propaganda za Wamagharibi

    Apr 24, 2022 08:20

    Ubalozi wa Russia mjini Tehran umesema kuwa, uvumi ulioenezwa kwamba Iran imeipelekea silaha Russia ili izitumie katika vita vya Ukraine, ni uongo na ni propaganda tu za madola ya Magharibi.

  • Eritrea yakosoa mpango 'haramu' wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi wa Uingereza

    Eritrea yakosoa mpango 'haramu' wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi wa Uingereza

    Apr 19, 2022 22:18

    Serikali ya Eritrea imekosoa makubaliano ya kuwahamishia Rwanda wakimbizi kutoka Uingereza ikisisitiza kuwa, mpango huo haukubaliki, unashtua na unapaswa kupingwa na kulaaniwa vikali.

  • China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni

    China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni

    Apr 02, 2022 22:11

    Serikali ya China imelaani vikali uingiliaji wa Uingereza katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kuachana na fikra zake za kikoloni.

  • Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne

    Turathi zilizoibiwa na mkoloni Muingereza zarejeshwa Nigeria baada ya karne

    Feb 20, 2022 04:26

    Turathi mbili muhimu za kihistoria za Nigeria zilizoibiwa na Uingereza katika enzi za ukoloni hatimaye zimerejeshwa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, baada ya kupita zaidi ya miaka mia moja.

  • Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza

    Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza

    Feb 15, 2022 04:42

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wamejadili misimamo ya nchi mbili katika mazungumzo yanayoendelea sasa huko Vienna nchini Austria kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS