Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa

    Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa

    Jan 22, 2025 23:19

    Watu wawili, yaani mtu mzima na mtoto mmoja, waliuawa katika shambulio la kudungwa kisu nchini Ujerumani jana Jumatano.

  • Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel

    Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel

    Jan 17, 2025 23:11

    Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina, baada ya kutangazwa makubaliano ya kuzisitisha vita kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na utawala ghasibu wa Israel.

  • UN: Uhuru wa Syria, umoja na kubaki kamili ardhi yake yote vinakabiliwa na hatari kubwa

    UN: Uhuru wa Syria, umoja na kubaki kamili ardhi yake yote vinakabiliwa na hatari kubwa

    Jan 09, 2025 02:39

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya ulichokiita "hatari halisi" inayokabili uhuru na kujitawala kwa Syria kufuatia kuanguka ghafla utawala wa zamani wa nchi hiyo.

  • Rais wa Kenya aahidi kukomesha utekanyaji nyara ili vijana wa nchi hiyo waishi kwa amani

    Rais wa Kenya aahidi kukomesha utekanyaji nyara ili vijana wa nchi hiyo waishi kwa amani

    Dec 28, 2024 09:18

    Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kukomesha utekaji nyara, kufuatia visa vya hivi karibuni vya watu kutoweka ambavyo vimelaaniwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, mawakili na wanasiasa.

  • Iran: Matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Uingereza kuhusu Syria ni ya

    Iran: Matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Uingereza kuhusu Syria ni ya "unafiki"

    Dec 12, 2024 07:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya Uingereza kuhusu matukio yanayojiri Syria ni ya kinafiki na ya upotoshaji ukweli.

  • UN yatoa indhari ya kuzidi kuharibika hali usalama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    UN yatoa indhari ya kuzidi kuharibika hali usalama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Dec 10, 2024 07:58

    Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amesema, kuna mvutano wa kisiasa nchini humo kufuatia miito ya kuifanyia mabadiliko Katiba sambamba na kuzidi kuvurugika hali ya usalama katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Ituri kunakohusisha harakati za makundi ya ADF, M23, CODECO na Zaire.

  • Macron akiri ilichofanya Ufaransa 1944 kwa askari wa Afrika Magharibi ni

    Macron akiri ilichofanya Ufaransa 1944 kwa askari wa Afrika Magharibi ni "mauaji ya halaiki"

    Nov 29, 2024 08:11

    Kwa mara ya kwanza, Rais wa Ufaransa ameyatambua mauaji ya wanajeshi wa Afrika Magharibi yaliyofanywa na Jeshi la Ufaransa mwaka 1944 kuwa ni "mauaji ya halaiki. Macron amechukua hatua hiyo kupitia barua aliyoziandikia Mamlaka za Senegal.

  • Balozi wa Iran UN: Tuhuma za Marekani na Uingereza hazina msingi wowote

    Balozi wa Iran UN: Tuhuma za Marekani na Uingereza hazina msingi wowote

    Nov 23, 2024 03:51

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zilizotolewa na Marekani na Uingereza za eti kuvuruga amani katika eneo la Asia Magharibi na kuhusika na mapigano yanayoendelea Ukraine; akisisitiza kuwa tuhuma zote hizo hazina msingi wowote.

  • Waingereza waandamana 'Siku ya Balfour' kulaani jinai za Israel Gaza

    Waingereza waandamana 'Siku ya Balfour' kulaani jinai za Israel Gaza

    Nov 03, 2024 02:46

    Makumi ya maelfu ya watu nchini Uingereza waamemiminika mabarabarani mjini London kushiriki maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza katika Siku ya Balfour, kumbukizi ya kila mwaka ya kuadhimisha nafasi ya Uingereza katika kuasisiwa utawala wa Kizayuni mwaka 1917.

  • Iran yawaita mabalozi wa UK, Australia mjini Tehran

    Iran yawaita mabalozi wa UK, Australia mjini Tehran

    Sep 04, 2024 03:30

    Balozi wa Uingereza mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Jamhuri ya Kiislamu, baada ya serikali ya London kuwawekea vikwazo shakhsia watatu Wairan na taasisi moja ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS