-
Serikali ya Uingereza yaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyefutwa kazi
Jan 24, 2022 08:56Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyesema kwamba alifutwa kazi katika serikali yake kwa sababu ya imani yake ya Kiislamu.
-
Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia
Jan 11, 2022 10:47Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
-
Serikali ya Ufaransa yaendeleza hujuma dhidi ya Uislamu, yazuia kampeni ya EU ya kutetea hijabu
Nov 04, 2021 04:19Kampeni ya Ulaya ya kupambana na hujuma dhidi ya Uislamu na kutetea vazi la staha la hijabu imesimamishwa kutokana na mashinikizo ya serikali ya Ufaransa.
-
Kiongozi Muadhamu: Mazazi ya Mtume (SAW) yalifungua ukurasa mpya wa maisha ya mwanadamu
Oct 24, 2021 11:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuzaliwa Mtume mtukufu Muhammad (SAW) kulifungua ukurasa mpya katika maisha ya mwanadamu.
-
Facebook yatakiwa kufuta matangazo ya AIPAC yanayoeneza chuki dhidi ya Waislamu
Aug 15, 2021 22:08Mtandao wa kijamii wa Facebook uko chini ya shinikizo yanayoutaka kuondoa matangazo yanayohujumu Uislamu na Waislamu dhidi ya mwakilishi Muislamu wa Kongesi ya Marekani Ilhan Omar, ambayo vikundi vya wanasheria vinasema yanahatarisha maisha ya mbunge huyo wa Minnesota.
-
Aliyekuwa muigizaji wa Bollywood awajibu wanaomdhihaki kwa kuvaa Hijabu
Jun 03, 2021 22:10Muigizaji mashuhuri wa zamani wa sekta ya filamu ya Bollywood ya India amewajia juu watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaomdhihaki na kumkejeli kwa kuvaa vazi la stara la Hijabu.
-
Waislamu wa Austria kuishtaki serikali kwa kuhatarisha usalama wao, ubaguzi
May 30, 2021 08:12Kundi linaloongoza la Waislamu nchini Austria limesema lina mpango wa kufungua kesi dhidi ya serikali ya Kansela Sebastian Kurz kwa kuanika "ramani ya Uislamu" iliyozusha utata mkubwa.
-
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza aitaka Conservative itupilie mbali Islamophobia
May 26, 2021 21:50Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Uingereza amekishauri chama tawala cha Conservative kujipanga upya kwa kutupilia mbali sera za kupiga vita Uislamu (Islamophobia).
-
Mamia ya wanaharakati wa Kiislamu wakamatwa Bangladesh kwa kupinga safari ya Modi
Apr 19, 2021 09:00Polisi ya Bangladesh imewatia nguvuni mamia ya wanaharakati wa Kiislamu baada ya mandamano yaliyoandamana na umwagaji damu ya kupinga safari ya Waziri Mkuu wa India nchini humo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
-
Mahakama Kuu ya India yatengua sheria ya marufuku ya kubadili dini
Apr 13, 2021 22:05Mahakama ya Juu ya India imetengua sheria inayowapiga marufuku raia wa nchi hiyo kubadili dini kutoka kwenye imanii ya Kihindu na kuingia kwenye Uislamu au ukristo. Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo imesema kuwa, sheria hiyo inapingana na katiba ya nchi.