-
Wananchi wa Ujerumani waunga mkono kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini mwao
Aug 04, 2020 06:43Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa Ujerumani unaonyesha kuwa akthari ya raia wa nchi huo wanaunga mkono kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini mwao na pia wanataka Marekani iondoe silaha zake za atomiki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana
Jul 16, 2020 03:24Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani wamesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havina umuhimu wowote.
-
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiri kuhusu msimamo dhaifu wa EU mkabala na mgogoro wa Libya
Jul 15, 2020 02:56Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa Umoja wa Ulaya umedhihirisha msimamo dhaifu katika kushughulikia mgogoro wa Libya.
-
Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya
Jul 09, 2020 21:54Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.
-
Ujerumani yalikosoa Baraza la Usalama la UN, yasema limepooza na kudumaa
Jun 29, 2020 22:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amelikosoa vikali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisema limeshindwa kutekeleza majukumu yake.
-
Malalamiko ya Ujerumani kwa vitisho vya Marekani dhidi ya usalama wa nishati barani Ulaya
Jun 15, 2020 03:30Baada ya Donald Trump kuingia katika Ikulu ya Marekani, White House, uhusiano wa Washington na Umoja wa Ulaya ikiwemo Ujerumani umevurugika na kufikia kiwango cha chini kabisa. Uhusiano huo umezidi kuwa mbaya baada ya Trump kuzungumzia suala la kuondoa wanajeshi wa Marekani huko Ujerumani.
-
Putin na Merkel wabainisha wasiwasi wao kufuatia kushtadi mapigano ya silaha huko Libya
Jun 10, 2020 03:20Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel wamesema kuwa wana wasiwasi kufuata kushtadi mapigano ya silaha huko Libya. Viongozi hao wawili wa Russia na Ujerumani wameeleza hayo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu.
-
Amri ya Trump ya kupunguza idadi ya askari wa Marekani nchini Ujerumani
Jun 07, 2020 07:25Uhusiano wa Marekani na Ujerumani katika mtazamo mpana wa kupungua uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Marekani umekumbwa na mvutano hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump.
-
Kansela wa Ujerumani alaumiwa baada ya silaha za nchi hiyo kuonekana zikitumika Libya
May 29, 2020 02:09Chama cha Kijani ambacho ni moja ya vyama vya upinzani nchini Ujerumani kimemshutumu Kansela wa nchi hiyo Angela Merkel kwa kutoheshimu marufuku ya Umoja wa Mataifa na kumtaka atoe ufafanuzi kuhusu kutumwa silaha za nchi hiyo kwa makundi hasimu nchini Libya.
-
Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa
May 28, 2020 04:52Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nyingi tofauti hususan wakati huu wa mgogoro wa maambukizi ya corona. Hivi sasa bara la Ulaya limekumbwa na mgogoro ambao haujawahi kutokea barani humo. Si hayo tu, lakini mivutano iliyodhihiri zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya wakati huu wa corona, ni msiba mwingine uliolikumba bara hilo na kuzidi kuonesha udhaifu wake katika nyuga tofauti hasa za kiafya na kiuchumi na utegemezi wa nchi hizo kwa mataifa mengine kama China.