-
Rais wa Ujerumani ataka ushirikiano wa wote katika kuwalinda Waislamu wa nchi hiyo
May 23, 2020 22:22Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani sambamba na kutoa pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr, ametaka wananchi wote washirikiane kwa ajili ya kuwalinda Waislamu wa nchi hiyo.
-
Ujerumani yalaumiwa kwa kutumia vibaya mgogoro wa Libya
May 17, 2020 20:11Duru mbalimbali duniani zinailaumu Ujerumani kwa kuchochea mapigano nchini Libya na kutojali vikwazo na marufuku ya kutopeleka silaha katika nchi hiyo iliyoathiriwa vibaya na vita.
-
Vyama vya Siasa Tunisia vyalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 06, 2020 03:25Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimelaani vikali hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiorodhesha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kama kundi la kigaidi.
-
Nasrullah: Tangazo la Ujerumani dhidi ya Hizbullah ni kwa maslahi ya Wazayuni
May 04, 2020 22:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sanjari na kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita harakati hiyo ya muqawama kuwa ni kundi la kigaidi, amesisitiza kuwa serikali ya Berlin imeshindwa kuwasilisha ithibati yoyote ya kuyapa nguvu madai yake hayo.
-
Mshikamano wa muqawama Asia Magharibi dhidi ya uamuzi wa Ujerumani kuhusiana na Hizbullah ya Lebanon
May 03, 2020 02:59Mhimili wa muqawama katika eneo mla Asia Magharibi umechukua msimamo mmoja wa kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Vyama vya Palestina na Lebanon vyatoa radiamali kufuatia hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 02, 2020 06:22Vyama na makundi tofauti ya Lebanon, Syria na Palestina vimeitaja hatua ya Ujerumani ya kuitangaza Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi ni kusalimu amri kwa njia ya kujidhalilisha nchi hiyo ya Magharibi kwa amri za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.
-
Jihadul-Islami na HAMAS zalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
May 01, 2020 23:00Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani hatua ya Ujerumani ya kuiweka Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kueleza kwamba hatua hiyo inadhihirisha upendeleo na uungaji mkono wa Berlin kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Oparesheni ya nyuklia ya siri ya Marekani yafichuliwa katika ardhi ya Ujerumani
Apr 12, 2020 03:12Vyombo vya habari vimeripoti kufichuliwa oparesheni ya siri ya jeshi la Marekani iliyotekelezwa katika msimu wa mapukutiko mwaka uliopita wa 2019 nchini Ujerumani kwa lengo la kuboresha mabomu yake ya nyuklia 20.
-
Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU
Apr 01, 2020 05:11Tangu mwezi Machi 2015, Saudi Arabia iliunda muungano kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kuanzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hadi sasa makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameshauawa shahidi na kujeruhiwa.
-
Corona yawaelemea Wazayuni, waomba msaada kwa Ujerumani, wakataliwa
Mar 29, 2020 21:56Baada ya wimbi la maambukizi ya corona kuukumba utawala wa Kizayuni wa Israel, viongozi wa utawala huo ghasibu wamekuwa wakihaha kutafuta msaada kila sehemu ikiwemo Ujerumani ambako Kansela wa nchi hiyo Angela Merkel amekataa kuisaidia Israel akisisitiza kuwa Ujerumani yenyewe ina upungufu wa vifaa.