-
Mgogoro wa nishati Ulaya, vyuo vikuu vya Ujerumani navyo havikusalaimika
Nov 23, 2022 08:31Mgogoro wa nishati umezidi kuwa mkubwa katika nchi za Ulaya kiasi kwamba vyuo vikuu vya Ujerumani vimelazimika kuweka kwenye ajenda yake ubanaji wa matumizi ya nishati.
-
Jitihada za kufunga kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani
Nov 12, 2022 08:48Katika juhudi za madola ya Magharibi za kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran, vyama vya muungano unaotawala nchini Ujerumani vimetoa wito wa kufungwa Kituo cha Kiislamu na Kiutamduni cha Iran katika mji wa Hamburg nchini humo.
-
Iran yaionya Ujerumani: Jibu letu kwa uingiliaji wenu litakuwa zito
Nov 10, 2022 07:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali matamshi ya uingiliaji na ya kichochezi yaliyotolewa na mwenzake wa Ujerumani na kuonya kuwa, Tehran itatoa jibu lenye mlingano na madhubuti kwa misimamo hiyo ya uingiliaji wa masuala ya ndani ya nchi hii.
-
Wanaharakati wa mitandao ya kijamii waanzisha kampeni ya kususiwa PUMA na kupeperusha bendera ya Palestina Qatar 2022
Oct 31, 2022 23:00Wanaharakati wa mitandao ya kijamii wameanzisha kampeni ya kusuusiwa kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA ya Ujerumani na kupeperushwa bendera ya Palestina wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022 ili kuwaazindua walimwengu kuhusumasaibu ya watu wa Palestina na umuhimu wa ukombozi wa ardhi hiyo inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Maandamano ya Ulaya dhidi ya kuzorota hali ya kiuchumi
Oct 24, 2022 23:06Kufuatia kuenea mgogoro wa kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wameandamana katika nchi kama vile Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Romania kulalamikia hali mbaya ya maisha.
-
Familia yalilia haki baada ya polisi wa Ujerumani kumuua kikatili mtu mweusi
Oct 11, 2022 08:35Familia ya mtu mmoja wa asili ya Afrika aliyefariki dunia kutokana na ukatili wa polisi ya Ujerumani wiki iliyopita imetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa kina ili kuwafikisha mbele ya sheria askari polisi waliohusika na mauaji hayo.
-
Utafiti: Mitazamo hasi dhidi ya Waislamu inaenea kwa kasi Ujerumani
Oct 06, 2022 03:29Mitazamo hasi na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Ujerumani.
-
Chama cha Kushoto cha Ujerumani chakosoa hatua ya Berlin ya kuiuzia silaha Saudia
Oct 02, 2022 08:37Chama cha mrengo wa kushoto cha Ujerumani kimekosoa vikali hatua ya serikali mpya ya muungano ya nchi hiyo ya kutoa leseni ya kuuza silaha kwa serikali ya Saudi Arabia.
-
Mbunge wa Ujerumani: Serikali ya nchi hii ndio 'pumbavu zaidi' barani Ulaya
Sep 10, 2022 07:03Mwanasiasa wa mrengo wa kushoto nchini Ujerumani ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa kusababisha alichokiita vita 'vibaya' vya kiuchumi dhidi ya Russia.
-
Kuanzisha uchunguzi Polisi ya Ujerumani dhidi ya Rais wa Palestina kuhusiana na Holocaust; undumakuwili mwingine wa Magharibi
Aug 21, 2022 03:50Polisi ya Ujerumani imesema, imeanzisha uchunguzi dhidi ya Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa sababu ya kauli aliyotoa kuhusu Holocaust, yaani mauaji ya halaiki ya Wayahudi yanayodaiwa kufanywa na utawala wa Kinazi wa Ujerumani chini ya uongozi wa Adolf Hitler.