Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • HAMAS yalaani hatua ya Polisi ya Ujerumani ya kufuatilia kauli ya Abbas kuhusu Holocaust

    HAMAS yalaani hatua ya Polisi ya Ujerumani ya kufuatilia kauli ya Abbas kuhusu Holocaust

    Aug 20, 2022 22:15

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, imelaani hatua ya maafisa wa Polisi ya Ujerumani ya kuamua kuchunguza matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusisitiza kuwa hatua hiyo inadhihirisha kuwa si kweli kama Berlin haipendelei upande wowote.

  • Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa  heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani

    Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani

    Aug 12, 2022 03:39

    Vyuo vya Kiislamu nchini Iran vimelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.

  • Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler

    Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler

    Aug 09, 2022 20:51

    Rais wa zamani wa Russia amesema fikra, mienendo na misimamo ya Rais wa Ukraine inafanana na ya mtawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi, Adolf Hitler.

  • Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani

    Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani

    Aug 08, 2022 02:29

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.

  • Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia

    Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia

    Jul 31, 2022 02:57

    Serikali ya Marekani inaendelea na siasa zake za kuchochea vita kwa kuiuzia Ujerumani ndege za kivita kwa kisingizio cha kukabiliana na Russia katika mgogoro wa Ukraine.

  • Mgomo wa siku moja tu wafuta zaidi ya safari 1,000 za ndege nchini Ujerumani

    Mgomo wa siku moja tu wafuta zaidi ya safari 1,000 za ndege nchini Ujerumani

    Jul 29, 2022 02:30

    Shirika la ndege la Lufthansa la Ujerumani limelazimika kufuta zaidi ya safari elfu moja za ndege kutokana na mgomo wa siku moja wa wafanyakazi wake.

  • Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya

    Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya

    Jul 13, 2022 22:48

    Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.

  • Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani latahadharisha: Kukatwa gesi asilia ya Russia kutalemaza viwanda vikubwa

    Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani latahadharisha: Kukatwa gesi asilia ya Russia kutalemaza viwanda vikubwa

    Jul 04, 2022 20:30

    Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani ametahadharisha kuwa tetesi za kuwepo uwezekano wa kukatwa gesi asilia ya Russia kwa ajili ya Ujerumani zitalemaza viwanda vikubwa nchini humo.

  • Misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu yamehujumiwa zaidi ya mara 800 Ujerumani

    Misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu yamehujumiwa zaidi ya mara 800 Ujerumani

    Jun 14, 2022 03:21

    Kundi moja la kutetea haki za binadamu nchini Ujerumani limeripoti kuwa limesajili matukio zaidi ya 800 ya kushambuliwa misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu nchini humo.

  • Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki

    Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki

    Jun 01, 2022 05:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS