-
Polisi ya Ujerumani yamweka kizuizini mratibu wa EU katika mazungumzo ya nyuklia akitokea Iran
May 14, 2022 00:14Polisi ya Ujerumani jana ilimkamata na kumweka kizuizini kwa muda Enrique Mora, mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Umoja wa Ulaya anayehusika na uratibu wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna wakati anaelekea Brussels akitokea Iran.
-
Vikwazo vya dhahiri vya Magharibi dhidi ya Russia na ushirikiano mkubwa rasmi nyuma ya pazia
Apr 05, 2022 04:12Nchi za Ulaya zimetangaza vikwazo vya kila namna dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine lakini nchi hizo hizo za Magharibi zenyewe zinarejea mlango wa nyuma na kuvunja vikwazo vyao zenyewe. Awali nchi za Ulaya zilipinga vikali kununua mafuta na gesi ya Russia kwa sarafu ya Ruble lakini hivi sasa zimelegeza misimamo hata katika suala hilo nalo.
-
Wajerumani, Wacyprus na Wagiriki waandamana kuinga mkono Russia
Apr 05, 2022 03:42Wananchi wa Ujerumani, Cyprus na Ugiriki wamefanya maandamano wakiiunga mkono Russia na kupinga hatua zilizochukuliwa na madola ya Magharibi na vikwazo vyao dhidi ya nchi hiyo.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia
Mar 27, 2022 21:57Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Ujerumani yasaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar ili 'kupunguza utegemezi' wa gesi ya Russia
Mar 21, 2022 22:59Kwa kisingizio cha kupunguza utegemezi wa gesi ya Russia, Ujerumani imesaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar.
-
Upinzani dhidi ya uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya
Mar 08, 2022 08:00Mjumbe mmoja wa ngazi za juu katika bunge la Ujerumani amesema kuwa mkondo wa kuipa Ukraine uanachama katika Umoja wa Ulaya ni hatari kwa maslahi ya umoja huo na kwamba njia bora ni kuipa Ukraine uanachama wa heshima tu.
-
Vita vya Ukraine na mabadiliko ya uwiano wa nguvu barani Ulaya
Mar 01, 2022 06:39Kuanza vita vya Russia na Ukraine kumevuruga mlingano wa kijeshi hasa miongoni mwa mataifa ya Ulaya, kiasi kwamba Ujerumani imetenga Euro bilioni 100 kwa ajili ya bajeti yake ya kijeshi, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya mfumo wake wa ulinzi.
-
Russia: Hatutaki vita barani Ulaya wala Ukraine
Feb 16, 2022 03:40Rais wa Russia amesema kuwa nchi yake haitaki kutokee vita barani Ulaya wala nchini Ukraine na ni kwa sababu hiyo ndio maana imetoa pendekezo la kudhaminiwa usalama wa eneo hilo.
-
Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine
Jan 29, 2022 23:08Gazeti la Ishpigel la nchini Ujerumani limeripoti kuwa Emily Haber Balozi wa Ujerumani mjini Washington ametuma barua ya siri kwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ujerumani akisistiza kuwa Washington inaitambua Ujerumani kama nchi muitifaki asiyeaminika kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano unaohitajika kuhusu kadhia ya Ukraine.
-
Papa Benedict XVI atuhumiwa kufifiliza unyanyasaji wa kingono waliofanyiwa watoto na makasisi wa Kanisa
Jan 21, 2022 09:40Aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Benedict XVI ametuhumiwa kufifiliza na kuzembea katika kuchunguza matukio manne ya ripoti kuhusu ubakaji na unyanyasaji wa kingono waliofanyiwa watoto wadogo wakati yeye alipokuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Munich nchini Ujerumani.