Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Russia: Msaada wa silaha wa Marekani kwa Ukraine unaiweka Russia na NATO katika makabiliano ya kijeshi

    Russia: Msaada wa silaha wa Marekani kwa Ukraine unaiweka Russia na NATO katika makabiliano ya kijeshi

    Oct 05, 2022 03:37

    Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Russia amekosoa misaada ya silaha ya Marekani kwa Ukraine, akisema inaziweka Moscow na NATO kwenye ncha ya makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi.

  • Shirika la IMF limejitosa kwenye vita vya Ukraine?

    Shirika la IMF limejitosa kwenye vita vya Ukraine?

    Oct 04, 2022 04:08

    Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) unatafakari suala la kuipa Ukraine dola bilioni 1.3 kama fedha za dharura.

  • Lavrov: Marekani inaisambaratisha Ukraine kwa ajili ya kuishinikiza Russia

    Lavrov: Marekani inaisambaratisha Ukraine kwa ajili ya kuishinikiza Russia

    Oct 03, 2022 22:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inasababisha kupata hasara kubwa na kusambaratishwa Ukraine kwa ajili ya kutoa vitisho kwa Russia.

  • Nusu ya Wamarekani wanapinga kutumwa silaha Ukraine

    Nusu ya Wamarekani wanapinga kutumwa silaha Ukraine

    Sep 28, 2022 22:51

    Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa, karibu nusu ya Wamarekani wanapinga kutuma misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine.

  • Majimbo ya Ukraine yapiga kura ya kujiunga na Russia katika siku ya mwisho ya kura ya maoni

    Majimbo ya Ukraine yapiga kura ya kujiunga na Russia katika siku ya mwisho ya kura ya maoni

    Sep 28, 2022 01:19

    Raia katika majimbo mawili yaliyotangaza kujitenga na Ukraine mashariki mwa nchi hiyo ya Luhansk na Donetsk na pia maeneo ya Kherson na Zaporizhia yanayodhibitiwa na Russia jana Jumanne walishiriki katika kura ya maoni ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo.

  • Katibu Mkuu wa NATO: Mzozo wa Ukraine hautamalizika karibuni

    Katibu Mkuu wa NATO: Mzozo wa Ukraine hautamalizika karibuni

    Sep 17, 2022 02:51

    Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema mzozo kati ya Russia na Ukraine hautaisha hivi karibuni, licha ya kile alichokiita shambulio "athirifu" la kujibu mapigo lililofanywa na vikosi vya Kiev dhidi ya wanajeshi wa Moscow.

  • China: Vita vya Ukraine vinaisababishia hasara kubwa Ulaya na kuipatia faida nono Marekani

    China: Vita vya Ukraine vinaisababishia hasara kubwa Ulaya na kuipatia faida nono Marekani

    Sep 03, 2022 21:54

    China imetangaza kuwa Marekani, ambayo ndio msababishaji mkuu wa mgogoro wa Ukraine inafaidika na kuendelea kwa vita katika nchi hiyo.

  • Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani

    Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani

    Sep 02, 2022 03:19

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi zinataka kutekeleza siasa zao za kibeberu katika maeneo yote hassasi na ya kiistratijia duniani na kwamba matukio ya Ukraine ni matunda ya mtazamo huo wa kiistikbari wa Magharibi.

  • Russia: Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki

    Russia: Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki

    Aug 31, 2022 21:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, serikali ya Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki na katu haijawahi kuficha kwamba ilikuwa ikijiandaa kwa ajili ya kukabiliana kijeshi na Russia.

  • Russia: Hatutasimamisha vita hata Ukraine ikiacha azma ya kujiunga na NATO

    Russia: Hatutasimamisha vita hata Ukraine ikiacha azma ya kujiunga na NATO

    Aug 28, 2022 02:16

    Rais wa zamani wa Russia amesema iwapo Ukraine ingeliruhusiwa kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Vita vya Tatu vya Dunia vingelikuwa vimeshaanza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS