-
Jibu la Iraq dhidi ya madai yasiyo na msingi ya Saudia
Nov 25, 2016 08:21Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq ilitoa jibu dhidi ya matamshi ya Thamer Al-Sabhan, Waziri Mshauri wa Saudia katika masuala ya nchi za Ghuba ya Uajemi, ikisema kuwa wizara hiyo ya kigeni ya Iraq ni mali ya Wairaq wote.
-
Harakati dhidi ya Iran huko Marekani sambamba na safari ya maafisa wa Saudia
Jun 19, 2016 04:20Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa Nje wa Bunge la Marekani Ed Royce Ijumaa ya jana alimwandikia barua Waziri wa Hazina wa nchi hiyo akimtaka kubakisha jina la Iran katika orodha ya nchi ambazo eti ni maeneo hatari na zinazokiuka sheria katika uwanja wa kutakasa fedha na kufadhili ugaidi.
-
Saudia yaendelea kukiuka usitishaji vita nchini Yemen
May 20, 2016 04:06Kwa mara nyingine ndege za Saudia zimeendelea kukiuka makubaliano ya usitishaji vita katika maeneo tofauti nchini Yemen.