Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Rais Rouhani: Nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu, zichukue hatua za kivitendo

    Rais Rouhani: Nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu, zichukue hatua za kivitendo

    Jun 02, 2020 07:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi za Ulaya zisiishie kulaani tu hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani, bali zitekeleze kivitendo majukumu yao.

  • Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani yasambaa duniani kote

    Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani yasambaa duniani kote

    Jun 01, 2020 05:55

    Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika sambamba na kuendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, lakini pia yamesambaa na kuenea kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani hususan za Ulaya.

  • Wakuu wa Ulaya wauonya utawala wa Kizayuni usithubutu kuteka ardhi zaidi za Wapalestina

    Wakuu wa Ulaya wauonya utawala wa Kizayuni usithubutu kuteka ardhi zaidi za Wapalestina

    May 27, 2020 21:52

    Rais wa Ufaransa na mawaziri wakuu wa Italia, Uingereza na Uhispania wamemtumia ujumbe mbalimbali waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu na kumuonya kwamba, mpango wa Israel wa kuteka ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan utakuwa na madhara hatari na makubwa sana.

  • Watu 155,000 wamefariki dunia kwa virusi vya corona katika nchi za Ulaya

    Watu 155,000 wamefariki dunia kwa virusi vya corona katika nchi za Ulaya

    May 13, 2020 08:53

    Takwimu za vifo vinavyotokana na ugonjwa na Covid-19 zinaonyesha kuwa hadi sasa watu wasiopungua laki moja na elfu 55 wamefariki dunia katika nchi Ulaya kwa ugonjwa huo unaosababishwa na virusi vya corona.

  • Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Apr 30, 2020 07:35

    Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.

  • Zarif: Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kuhusu azimio la Baraza la Usalama la UN

    Zarif: Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kuhusu azimio la Baraza la Usalama la UN

    Apr 24, 2020 10:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kwa kutumia tafsiri ghalati na isiyo na msingi kuhusu utekelezaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Apr 21, 2020 01:39

    Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama katika G20 walioshiriki kwenye mkutano uliofanyika kwa njia ya video wamechunguza athari mbaya za mlipuko wa virusi vya corona na kukiri kwamba, mfumo wa afya duniani ni dhaifu na kwamba mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona umeweka wazi uhakika huo.

  • Maambukizi ya corona Ulaya yapindukia watu milioni moja, vifo Canada vyaongezeka kwa asilimia 12

    Maambukizi ya corona Ulaya yapindukia watu milioni moja, vifo Canada vyaongezeka kwa asilimia 12

    Apr 19, 2020 22:42

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Barani Ulaya kimetangaza kuwa, idadi ya waliokumbwa na ugonjwa wa COVID-19 barani humo imepindukia watu milioni moja.

  • Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi

    Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi

    Apr 04, 2020 06:56

    Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.

  • Guterres: Mgogoro wa sasa wa virusi vya corona ndio mbaya zaidi duniani tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia

    Guterres: Mgogoro wa sasa wa virusi vya corona ndio mbaya zaidi duniani tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia

    Apr 01, 2020 03:41

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa maambukizi ya sasa ya virusi vya corona ndiyo mgogoro mkubwa zaidi duniani tangu baada ya vita vya Pili vya Dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS