-
Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya
Mar 02, 2020 22:54Polisi na kundi la raia wa Ugiriki wamekabiliana na wahajiri wanaovuka mpaka kuelekea Ulaya.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani
Feb 18, 2020 04:43Kujitokeza makundi ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu mpaka na kuenea katika nchi za Magharibi vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na makundi hayo, na vile vile kujitokeza mgogoro wa wakimbizi, ambao akthari yao ni Waislamu, yote hayo yametumiwa na baadhi ya viongozi na vyombo vya habari vya Magharibi kama kisingizio cha kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu; jambo ambalo limeufanya Umoja wa Mataifa ulazimike kupaza sauti yake.
-
Kufichuka siri ya Trump alivyoishinikiza Troika ya Ulaya itekeleze 'Utaratibu wa Kifyatuo' katika JCPOA
Jan 16, 2020 23:18Licha ya madai zinayotoa nchi za Ulaya kuhusu ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Troika ya nchi hizo inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, siku ya Jumanne ya tarehe 14 Januari iliamua kutekeleza utaratibu wa kusuluhisha mzozano katika JCPOA, ambao kimsingi unatoa kitisho kwa Iran cha kuwekewa tena vikwazo vya nyuklia vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Zarif: Ulaya wameamua "kuitosa" JCPOA kwa kuhofia ushuru mpya wa Trump
Jan 16, 2020 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe mkali katika mtandao wa kijamii wa Twitter kulaani udhaifu wa nchi za Ulaya mbele ya Marekani na kuandika: Nchi tatu za Ulaya zilizobakia kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimeamua kuyatupa makubaliano hayo kwa kuhofia ushuru mpya ambao Trump ametishia kuziwekea ushuru mpya nchi za Ulaya.
-
Sisistizo la Mkuu wa Sera za Kigeni wa EU kuhusu kulindwa JCPOA, akiri Iran imefungamana na mapatano hayo
Dec 17, 2019 04:38Umoja wa Ulaya, na nchi tatu muhimu za umoja huo yaani Uingereza, Ufaransa na Ujerumani maarufu kama Troika ya Ulaya, zilikuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mpatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalifikiwa mwaka 2015.
-
Mpango wa Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa Marekani barani Ulaya kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 11, 2019 04:41Donald Trump, rais machachari na mwenye makeke wa Marekani amewahi kusikika mara kadhaa akiwalaumu na kuwakosoa waitifaki wa Washington wa barani Ulaya na hata kutishia kwamba, nchi yake haitakuwa tayari kuendelea kugharimika kwa ajili ya usalama wa nchi za bara hilo; hata hivyo mpango uliotangazwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa nchi hiyo barani Ulaya umeyatoa maanani madai hayo ya Trump.
-
Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya
Dec 03, 2019 04:09Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano hadi mbele ya balozi za Umoja wa Falme za Kiarabu katika nchi kadhaa za Ulaya.
-
Zarif azilaumu nchi za Ulaya kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kibinadamu
Dec 02, 2019 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kibinadamu na kuongeza kuwa, ni jukumu la nchi za Ulaya kutekeleza wajibu wa kuhusu watoto wadogo wa Iran wanaokwama kwenye matibabu kutokana na ugaidi wa kiuchumi unaofanywa na Marekani dhidi ya wananchi wa taifa hili.
-
Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Dec 01, 2019 09:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, 'Bunge la Iran' amesema sera ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran ni ghalati na ni lazima watawala wa Marekani wasitishe sera hiyo.
-
Iran yakosoa nchini za Ulaya kwa kuingilia mambo yake ya ndani
Nov 22, 2019 03:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya nchi za Ulaya kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kusema: "Badala ya nchi za Ulaya kutoa matamshi ya kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kuwaunga mkono wahuni, zinapaswa kuwajibika kuhusu kushindwa kutekeleza ahadi zao kwa watu wa Iran."