-
Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Dec 01, 2019 09:15Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, 'Bunge la Iran' amesema sera ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran ni ghalati na ni lazima watawala wa Marekani wasitishe sera hiyo.
-
Iran yakosoa nchini za Ulaya kwa kuingilia mambo yake ya ndani
Nov 22, 2019 03:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya nchi za Ulaya kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kusema: "Badala ya nchi za Ulaya kutoa matamshi ya kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kuwaunga mkono wahuni, zinapaswa kuwajibika kuhusu kushindwa kutekeleza ahadi zao kwa watu wa Iran."
-
Kuwarejesha wanachama wa Daesh raia wa Ulaya; wenzo wa mashinikizo mapya wa Uturuki
Nov 16, 2019 23:05Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uturuki imewafukuza Istanbul raia saba wa nchi za nje wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Araqchi: Iran imepunguza uwajibikaji wake ili kuyalinda makubaliano ya JCPOA
Nov 12, 2019 08:34Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisiasa amesema kuwa lengo la Tehran kupunguza ahadi na uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo.
-
Sisitizo la Rais Macron wa Ufaransa kuwa Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo
Nov 09, 2019 04:05Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa aklilidunisha Shirika la Kijeshi la Muungano wa Nchi za Magharibi (NATO) huku akikosoa wananchama wa muungano huo kutokana na kutoshiriki katika kuchangia bajeti ya muungano huo hasa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi.
-
Juhudi za Ulaya za kujipapatua kutoka kwenye kinamasi cha shari za "Madaesh" wake
Nov 06, 2019 05:21Nchi kubwa za barani Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa zina mchango mkubwa wa kuundwa na kupata nguvu magenge mbalimbali ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) na lengo lao kubwa lilikuwa ni kuwatumia magaidi hao kuipindua serikali halali ya Syria. Hata hivyo nchi hizo zimefeli vibaya.
-
Wakati nchi za Ulaya zinapochoshwa na uadui wa Trump na kuamua kujibu vita vya kiuchumi
Oct 20, 2019 02:56Viongozi wa Ulaya wamekasirishwa mno na vita vipya vya kiuchumi vilivyoanzishwa na rais wa Marekani, baada ya Donald Trump kutangaza ushuru mpya kwa bidhaa za nchi za Ulaya na hivyo kuingia katika vita vikubwa mno vya ushuru na waitifaki hao wa miaka mingi wa Marekani.
-
Russia: Ulaya pia imechoshwa na siasa za ubeberu za Marekani
Oct 19, 2019 12:03Waziri Mkuu wa Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa, nchi za Ulaya pia zimechochwa na siasa za ubeberu za Marekani.
-
Athari za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran zafika katika fukwe za Ulaya
Oct 16, 2019 01:04Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran vimeanza kuziathiri nchi za Ulaya kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
-
Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo
Oct 15, 2019 23:26Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.