• UN yakosoa tena jinai za utawala ghasibu wa Israel

    UN yakosoa tena jinai za utawala ghasibu wa Israel

    Jan 28, 2016 04:06

    Umoja wa Mataifa umesisitiza tena misimamo yake kuhusu jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina siku moja baad aya utawala huo kupinga matamshi ya Katibu Mkuu wa umoja huo ddhidi ya mienendo ya Israel.

  • Ban atoa wito wa kuzuiwa hujuma dhidi ya Uislamu

    Ban atoa wito wa kuzuiwa hujuma dhidi ya Uislamu

    Jan 28, 2016 03:50

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba vitendo vya hujuma dhidi ya wageni, propaganda chafu dhidi ya Uislamu na mivutano ya kikaumu na kimadhehebu vimeongeseka kote duniani na kuogeza kuwa kutolewa elimu sahihi ndiyo ufunguo wa matatizo hayo yote.

  • Iran: Kuendelea jinai za Israel ni natija ya kutokuwa na uwezo Baraza la Usalama

    Iran: Kuendelea jinai za Israel ni natija ya kutokuwa na uwezo Baraza la Usalama

    Jan 27, 2016 10:16

    Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuendelea jinai za utawala wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ni kutokuwa na uwezo Baraza la Usalama katika kutekeleza wadhifa wake.