-
Guterres apongeza azma ya Iran kutuma vikosi vyake kulinda amani duniani
Sep 23, 2023 04:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Iran la kuwa tayari wanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu kujiunga na vikosi vya kulinda amani kote duniani.
-
Rais wa Iran: Kuna ulazima wa kuangaliwa upya muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 23, 2023 01:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna umuhimu wa kufanyika marekebisho katika muundo wa Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la kufanyiwa mabadiliko muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 20, 2023 22:53Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesisitiza haja ya kufanyiwa mabadiliko muundo wa umoja huo na kuonya kuwa, huenda kukajitokeza mgawanyiko iwapo jambo hilo halitazingatiwa.
-
UN: Wahajiri 400 wameaga dunia kwa mafuriko Libya
Sep 20, 2023 03:47Umoja wa Mataifa umesema mamia ya wahajiri ni miongoni mwa maelfu ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na kimbunga huko mashariki mwa Libya.
-
Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli
Sep 19, 2023 23:51Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema mpango wa Marekani wa kuitwisha dunia sera na misimamo yake umefeli na kugonga mwamba.
-
UN: Mauaji makubwa na uhalifu wa kivita unaendelea kufanywa Ethiopia
Sep 19, 2023 03:55Wataalamu huru wa haki za binadamu walioteuliwa na Umoja wa Mataifa wamesema, uhalifu wa kivita umeendelea kufanywa bila kusitishwa nchini Ethiopia karibu mwaka mmoja baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kufikiwa kati ya Serikali ya nchi hiyo na vikosi kutoka eneo la kaskazini la Tigray
-
UN: Baadhi ya watu nchini Libya wamepoteza wanafamilia 50 au zaidi
Sep 16, 2023 07:29Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA, Martin Griffiths amesema, umoja huo unaendelea kuhamasisha juhudi za utoaji misaada kwa nchi za Libya na Morocco kufuatia majanga mawili makubwa tofauti yaliyozikumba nchi hizo sambamba na machungu na maumivu makubwa yaliyozipata familia zilizofiwa na kupoteza wapendwa wao katika majanga hayo.
-
China: Haiwezekani Taiwan kupewa uanachama wa UN
Sep 16, 2023 01:13Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesema jitihada za maajinabi zinazoendelea za eti kutafuta uhuru wa Taiwan zitafeli.
-
Kuendelea mgogoro wa Sudan; kujiuzulu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa
Sep 15, 2023 02:23Vita nchini Sudan vingali vinaendelea na pande mbili zimeendelea kung'ang'ania misimamo yao hali ambayo imezifanya juhudi za kuhitimisha vita hivyo kutozaa matunda.
-
UN: Dola bilioni 360 zinahitajika kila mwaka ili kufikia usawa wa kijinsia 2030
Sep 08, 2023 22:57Takwimu mpya zilizokusanywa na mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa zimeonyesha kuwa kuna haja ya uwekezaji wa ziada wa dola bilioni 360 kwa mwaka ili kufikia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake ifikapo mwaka 2030.