Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Katibu Mkuu wa UN azitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi zao kuhusu hali ya hewa

    Katibu Mkuu wa UN azitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi zao kuhusu hali ya hewa

    Sep 14, 2022 21:57

    Shirika la hali ya hewa duniani Jumanne hii lilizindua ripoti ya kutisha iliyotolewa na mashirika mengi kuhusu majanga ya hali ya hewa katika maeneo mbalimbali duniani; ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka katika uwanja huo.

  • Kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya na suala zima la uchaguzi mkuu

    Kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya na suala zima la uchaguzi mkuu

    Sep 11, 2022 04:52

    Nchi zilizoshiriki katika katika kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya zimesisitiza kuwa, uchaguzi ndiyo njia pekee ya utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo. Kikao hicho cha siku mbili kimehudhuriwa pia na wawakilishi kutoka Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya, Ufaransa, Uingereza, Marekani, Uturuki, Italia, Ujerumani na Misri.

  • Kuchaguliwa Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa

    Kuchaguliwa Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa

    Sep 10, 2022 21:55

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kuteuliwa bwana Volker Turk mwanadiplomasia wa Austria mwenye uzoefu wa muda mrefu ndani ya Umoja wa Mataifa kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na mtangulizi wake Michelle Bachelet ya Kamishna Mkuu wa umoja huo.

  • Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York

    Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York

    Sep 05, 2022 03:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kuwa Moscow inazingatia kikamilifu pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka Marekani hadi sehemu nyingine.

  • UN yaitaka Marekani izipe fidia familia za wahanga wa utumwa

    UN yaitaka Marekani izipe fidia familia za wahanga wa utumwa

    Sep 01, 2022 03:01

    Umoja wa Mataifa umetoa mwito kwa Marekani kuanza mchakato wa kutoa fidia kwa vizazi vya wahanga wa utumwa.

  • Hofu ya UN juu ya mgogoro wa kisiasa nchini Libya

    Hofu ya UN juu ya mgogoro wa kisiasa nchini Libya

    Aug 31, 2022 02:42

    Mkuu wa Siasa wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, kutotatuliwa mgogoro wa kisiasa wa Libya na kutofanyika uchaguzi uliocheleweshwa ni tishio kwa hali ya mambo katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Takwa la Umoja wa Mataifa la kuungwa mkono wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Takwa la Umoja wa Mataifa la kuungwa mkono wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Aug 27, 2022 07:50

    Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.

  • UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Aug 26, 2022 02:55

    Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.

  • UN yalaani kufungwa jela miaka 34 mwanaharakati mwanamke Saudia

    UN yalaani kufungwa jela miaka 34 mwanaharakati mwanamke Saudia

    Aug 21, 2022 23:55

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limekosoa hatua ya watawala wa Saudi Arabia ya kumpa hukumu nzito mwanaharakati mwanamke kutokana na ujumbe wake wa Twitter.

  • WFP: Njaa inatishia maisha ya watu milioni 22 barani Afrika

    WFP: Njaa inatishia maisha ya watu milioni 22 barani Afrika

    Aug 21, 2022 02:28

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limessema kuwa hivi sasa watu milioni 22 barani Afrika wako kwenye hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS