Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Rais Rouhani afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa UN; wajadili JCPOA, Syria na Yemen

    Rais Rouhani afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa UN; wajadili JCPOA, Syria na Yemen

    Sep 27, 2018 01:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamefanya mazungumzo mjini New York ambapo wamejadili masuala mbalimbali yakiwemo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mgogoro wa Syria na vita vya Yemen.

  • Amir wa Qatar: Hitilafu zimelilemaza Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Amir wa Qatar: Hitilafu zimelilemaza Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Sep 26, 2018 04:45

    Akizungumza jana usiku katika Mkutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Amir wa Qatar amekosoa vikwazo vya Saudi Arabia na waitifaki wake dhidi ya nchi yake na kusema hitilafu zilizopo zimelilemaza Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi.

  • Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la kigaidi la Ahvaz Iran

    Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la kigaidi la Ahvaz Iran

    Sep 23, 2018 04:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu kusini magharibi mwa Iran.

  • UN: Ghaza inakaribia kusambaratika kikamilifu, Israel inaendelea kukaidi maamuzi ya kimataifa

    UN: Ghaza inakaribia kusambaratika kikamilifu, Israel inaendelea kukaidi maamuzi ya kimataifa

    Sep 21, 2018 09:36

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mashariki ya Kati amekiambia kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kwamba eneo la Ukanda wa Ghaza huko Palestina linakaribia kusambaratika kikamilifu.

  • UNICEF: Katika kila sekunde tano, mtoto mmoja hufariki dunia

    UNICEF: Katika kila sekunde tano, mtoto mmoja hufariki dunia

    Sep 18, 2018 02:55

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema watoto milioni 6.3 waliaga dunia kabla ya kufikisha miaka 15 mwaka jana 2017, huku nusu ya vifo hivyo vikiripotiwa katika eneo la chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika.

  • UN yaelezea kusikitishwa na hali mbaya ya Ukanda wa Ghaza

    UN yaelezea kusikitishwa na hali mbaya ya Ukanda wa Ghaza

    Sep 16, 2018 21:52

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya maendeleo na biashara ametoa ripoti maalumu kuhusu maafa ya kibinadamu ya Ukanda wa Ghaza na kuongezeka kupindukia idadi ya Wapalestina wasio na kazi akisema kuwa hali hiyo inasikitisha sana.

  • Ukosoaji wa ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja

    Ukosoaji wa ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja

    Sep 16, 2018 02:49

    Ulimwengu wa magharibi ukiwa na shabaha ya kutwisha matakwa na kusukuma mbele gurudumu la malengo yake, daima umekuwa ukitumia wenzo wa vikwazo.

  • Umoja wa Ulaya wataka kushtakiwa wahusika wa jinai dhidi ya Waislamu Warohingya

    Umoja wa Ulaya wataka kushtakiwa wahusika wa jinai dhidi ya Waislamu Warohingya

    Sep 15, 2018 03:20

    Umoja wa Ulaya umetoa wito wa kufuatiliwa kisheria wale wote waliohusika na jinai dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.

  • Umoja wa Mataifa walaani kukandamizwa wanaharakati wa haki za binadamu katika nchi 38 duniani

    Umoja wa Mataifa walaani kukandamizwa wanaharakati wa haki za binadamu katika nchi 38 duniani

    Sep 13, 2018 03:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vitendo vya ulipizaji kisasi na vitisho dhidi ya wanaharakati wa masuala ya kutetea haki za binadamu katika nchi 38 duniani na kuvitaja kuwa ni fedheha kubwa.

  • UN yataka kushughulikiwa jinai za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    UN yataka kushughulikiwa jinai za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Sep 10, 2018 10:12

    Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuanzishwa chombo cha kufuatilia jinai zinazofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS